mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Ni lini imetokea viongozi wa madrid wakavaa jezi za Manchester United na kwenda kuwapokea airport wachezaji wa ManchesterNi kwamba haujui mpira au nini?
Barcelona wanawapenda Madrid?
Man u wanawapenda man City?
Arsenal wanawapenda Tottenham?
River plate wanawapenda boca junior?
Inter Milan wanawapenda ac Milan?
Everton wanawapenda Liverpool?
Al ahly wanawapenda zamalek
Wydad wanawapenda raja Casablanca?
USHABIKI NI UCHIZI
Na kuwapa mbinu ya kupambana na Barcelona?
Hizi zinazoendelea hapa kwetu ni chuki na sio utani wa jadi..