Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika hili naomba nifunguekinywa changu kidogo kwa upande wangu naona watu wafuatao wana makosa kwanza mwanafunzi kwa kutotimiza wajibu wake kama mwanafunzi ndugu zangu watoto wa siku hizi wanapenda kuendekeza mabo yasiyo na umuhimu kwao na hata iyo tecknolojia wanaitumia isivyo mfano badala ya kutmia mtandao kujisomea kwa kiasi kikubwa uatakuta anatumia kwa fb comment an posting status anatumia simu kuweka picha za utupu na video za ngono mwanafunzi huyo huyo hana heshima kwa mkubwa kwa mmwenzake mpaka mwalimu wake niambie yaliyotokea rufiji mwanafunzi anampiga mwalimu eh wandugu hapa ki ukweli wanafunzi wanakose utawakuta vijiweni kwenye vigodoro na vikundi vya wavuta bangi.serikali naomba nisema kuwa mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayechukua shahada ya uwalimu serikali kiukweli haisikilizi walimu haiwatendei haki malipo duni kwa walimu ikumbukwe kuwa hata hao madaktari, mainjinia ,wanasiasa,wahasibu mnawahusudu hawaji mpaka mkono shupavu wa mfinyazi mwalimu ufanye kazi mkimdharau naye atadharau ikumbukwe kuwa mwalimu ameshika mpini ukilete mbwembwe akavuta tu imekula kwako, pia serikali miundombinu mibovu ya kufundishia muongeze juhudi mwalimu pia hapa shida pia ipo kuna walimu wengine hasa wasayansi hawapendi kufundisha shule za vijijini mbali na juhudi za serikali kuwa mkopo asilimia mia wanapo maliza wanataka kuka dar,morogoro,mwanza jijini, mbeya jijini na si chunya lakini lindi na mtwara hawataki jamani walimu kwa tanzania ni mjini peke yake na utakuta huyohuyo mwalimu ametoke upcountrie(yaaani vijijini, sitimbi pure) lakini apatapo kidigrii anajishaua kufundisha pia wanachangia kingine walimu wa siku hizi wengi hawana wito wa kufundisha anafanya kwa sababu kazi ya fani ya ualimu ni direct hakuna kutahiniwa ndo upate kazi kwa hiyo hili nalo ni tatizo chonde walimu tubadilike mwanafunzi ndo kesho yako msadie naye atakufaa baadaye.wazazi nyie ndo sasa mmebweteka mmesahau wajibu wenu hakagui wanafunzi hamuwakanyi yaani kwa kiasi kikubwa mmeyatakajAMII ZAMANI MTOTO ALIKUWA MALI YA JAMII LAKINI SASA IMEKUWA MTOTO WA MWENZAKO NI MKUBWA MWENZIOnasihi jamii irudi zamani na asanteni
Unaweza ukaona wenzio wehu kumbe weye ndi mwehu kabisa kama mwanao anasoma st fisadi utajuaje matatizo ya wa2 wengine ww