Chuki tu: Kawambwa sio tatizo

Watanzania bwana kaz kwel kweli jamaa kaandika mambo ya msingi sana.na ukisoma kwa umakin jamaa hamaanish kawambwa hausiki ila ni mfumo mzima.so sio ishu ya mtu 1.hata kawambwa akijiuzul no change will happen.
 
Kawambwa ni bomu huyu anabebwa tu! Ni wizara ipi amewahi kufanya cha maana? Kote alikopita ni majanga matupu.its time now apumzishwe
 
katika hili naomba nifunguekinywa changu kidogo kwa upande wangu naona watu wafuatao wana makosa kwanza mwanafunzi kwa kutotimiza wajibu wake kama mwanafunzi ndugu zangu watoto wa siku hizi wanapenda kuendekeza mabo yasiyo na umuhimu kwao na hata iyo tecknolojia wanaitumia isivyo mfano badala ya kutmia mtandao kujisomea kwa kiasi kikubwa uatakuta anatumia kwa fb comment an posting status anatumia simu kuweka picha za utupu na video za ngono mwanafunzi huyo huyo hana heshima kwa mkubwa kwa mmwenzake mpaka mwalimu wake niambie yaliyotokea rufiji mwanafunzi anampiga mwalimu eh wandugu hapa ki ukweli wanafunzi wanakose utawakuta vijiweni kwenye vigodoro na vikundi vya wavuta bangi.serikali naomba nisema kuwa mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayechukua shahada ya uwalimu serikali kiukweli haisikilizi walimu haiwatendei haki malipo duni kwa walimu ikumbukwe kuwa hata hao madaktari, mainjinia ,wanasiasa,wahasibu mnawahusudu hawaji mpaka mkono shupavu wa mfinyazi mwalimu ufanye kazi mkimdharau naye atadharau ikumbukwe kuwa mwalimu ameshika mpini ukilete mbwembwe akavuta tu imekula kwako, pia serikali miundombinu mibovu ya kufundishia muongeze juhudi mwalimu pia hapa shida pia ipo kuna walimu wengine hasa wasayansi hawapendi kufundisha shule za vijijini mbali na juhudi za serikali kuwa mkopo asilimia mia wanapo maliza wanataka kuka dar,morogoro,mwanza jijini, mbeya jijini na si chunya lakini lindi na mtwara hawataki jamani walimu kwa tanzania ni mjini peke yake na utakuta huyohuyo mwalimu ametoke upcountrie(yaaani vijijini, sitimbi pure) lakini apatapo kidigrii anajishaua kufundisha pia wanachangia kingine walimu wa siku hizi wengi hawana wito wa kufundisha anafanya kwa sababu kazi ya fani ya ualimu ni direct hakuna kutahiniwa ndo upate kazi kwa hiyo hili nalo ni tatizo chonde walimu tubadilike mwanafunzi ndo kesho yako msadie naye atakufaa baadaye.wazazi nyie ndo sasa mmebweteka mmesahau wajibu wenu hakagui wanafunzi hamuwakanyi yaani kwa kiasi kikubwa mmeyatakajAMII ZAMANI MTOTO ALIKUWA MALI YA JAMII LAKINI SASA IMEKUWA MTOTO WA MWENZAKO NI MKUBWA MWENZIOnasihi jamii irudi zamani na asanteni
 

big up Mkuu
 
Siishangai thread yako inawezekana upo kwenye naive consciousness coz ili ujue kuwa kawambwa ni tatizo katika suala hili unatakiwa kuwa critical conscious,kawambwa ni dola na ni yeye na wizara yake ndio hasa wanapaswa kusimamia hayo yote uliyo yaorodhesha kushindwa kwao ndo kumeletelezea haya maokeo.think big kijana watu wana hasira na huu ubata uliotokea this time.....
 
Waziri mwenye dhamana ya elimu anahusika na anatakiwa kujiuzuru
 
Kavulata,ukiwa meneja wa bank,karani akaiba mamilion ya shilingi na umekuwa mmoja wapo wa kusaini transaction yake basi unawajibika moja kwa moja na wewe kuachia ngazi,kwa namna moja au nyingine utaambiwa umeshiriki wizi.

Ni sawa na Waziri ,anasimamia wizara nyeti sana,kwa nchi nyingine wakati kama huu nafasi hiyo ingekuwa ipo tupu kwa wakati huu.Kwanza ilikuwa aibu kwake yeye mwenyewe kusoma ujinga anousimamia.

Kuna mawili,kuna mahali amekosea au wizara yake ina matatizo.Ukumbuke wizara yake ndiyo ina walimu wanaofundisha watahiniwa na ina watahiniwa wasiokuwa na vifaa muhimu,vitabu,maabara,library,madawati,na hata madarasa ,kama msimamizi wa wizara amefanya nini kutatua tatizo hilo.

Kwa matokeo haya inaonyesha ameshindwa kuongoza wizara.Ukumbuke matokeao ya darasa la saba watoto wamefaulu lakini hawajui kusoma wala kuandika ni wengi sana,bado anafanya nini kwenye ofisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…