ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Dawa yake ni kuwa na boundaries tu.hili jambo la Maofisini kuwa tabia za ajabu ajabu zinanikera sana, Kuna ofisi yaani kufanya kazi inakuwa ni ngumu na changamoto Kwa sababu ya chuki na fitina za hapa na pale...
Hata huko kwenye nyumba za ibada fitna zipo, kwa wale ambao rizki zao zimefungamana na kuhudumu kwenye maeneo hayo, ambaye unaenda kuabudu tu huwezi ona ila wafanyao kazi ya kuendesha maisha kupitia nyumba za ibada wanajua kuwa fitna zipo humo kama mahala kwengine kokoteBeing Born again !
Akili za kitoto tena?Hadi amegundua hizo tabia ina maana anajitambua na ndiyo maana anasaka njia mbadala za kupambana na changamoto.Isingekuwa hivyo angejinyonga kwa sonona.Bado una akili za kitoto ,ukitaka mbinu utapewa sema ufundishwe mbona wakina sie tunaishi tu!
Umenikumbusha.Kuna taarifa kule Makambako kuna jamaa walimuua mwenzao kanisani kwa kugombea(hisia)huduma fulani watoe/wapokee wao.Hata huku makanisani kumeharibika
Kwa hiyo walivyoenda kwake na kukuta ana maendeleo kuwazidi wakajichukiza?Na hapo ina maana boss anakuzidi mshahara ila hana akili zifanyazo kazi itakiwavyo muungwana awe.ππππKuna mtu alipata msiba watumishi wenzake walifika msibani baada ya msiba alipewa Uhamisho.
Unakuta boss anakuzidi pesa wewe unamzidi maendeleo hapo chuki ni lzm
YeahKwa hiyo walivyoenda kwake na kukuta ana maendeleo kumzidi wakajichukiza?ππππ
Yes, unategemea nini kama mtu unajipenda unapenda ukae pa zuri.We upo bize kuzurura kwenye hardware's wao wapo bize kuzurura kwenye bar zenye pisi kali lazima wakuchukieKwa hiyo walivyoenda kwake na kukuta ana maendeleo kuwazidi wakajichukiza?Na hapo ina maana boss anakuzidi mshahara ila hana akili zifanyazo kazi itakiwavyo muungwana awe.ππππ
Wakati mmoja anarudi jioni nyumbani na mfuko wa saruji,kuna mwamba anabugia mfuko wake wa saruji uliobadilishwa katika muundo wa bia.πππYeah
Qq1Β²wwwwwwww
Yes, unategemea nini kama mtu unajipenda unapenda ukae pa zuri.We upo bize kuzurura kwenye hardware's wao wapo bize kuzurura kwenye bar zenye pisi kali lazima wakuchukie
Chuki anazitafuta kazini kapelekwa na uwezo wake sio connection wala uchawa kwa nn achukiwe, kuwa introvert hao anao watongoza ndo chanzo cha chuki ,urafiki wa kijinga unataka kila mtu ujuane nae ya nn ?watu wakikijua tu kwenu hata kama una kamjengo cha mkopo basi ni vitaAkili za kitoto tena?Hadi amegundua hizo tabia ina maana anajitambua na ndiyo maana anasaka njia mbadala za kupambana na changamoto.Isingekuwa hivyo angejinyonga kwa sonona.
Umesahau na ushirikina. Maofisini Kuna michezo michafu sana ya kuchafuana au kupigana mikosiHili jambo la Maofisini kuwa tabia za ajabu ajabu zinanikera sana, kuna ofisi yaani kufanya kazi inakuwa ni ngumu na changamoto kwa sababu ya chuki na fitina za hapa na pale.
Na kitu kibaya utashangaa hata boss anaekuzidi mshahara na cheo anakujengea chuki kubwa dhidi yako. Huku Maofisini nimeona haifai kuzoeana na watu Wala kuwa na urafiki na mtu maana hiyo ndo silaha watatumia kukuangamiza, huku Maofisini inabidi wafanyakazi wenzako wasijue mambo yako nje ya ofisi, nenda fanya kazi ondoka.
Chuki na stress za maofisini zimeletea watu wengi magonjwa na msongo wa mawazo.
Si ndo hapo mwamba anabugia mfuko wa cement,wao wanabugia bia na nyama choma.Wakati mmoja anarudi jioni nyumbani na mfuko wa saruji,kuna mwamba anabugia mfuko wake wa saruji uliobadilishwa katika muundo wa bia.πππ