Chuki, unafiki na uzushi maofisini tiba yake ni nini?

Ofisini kaa kivyako vyako[emoji848][emoji848]

Ukileta shobo unatunguliwa
 
I said "Being born again " in churches they many church goers not true worshippers . Your working place must be influenced by the kingdom of God
 
Hakuna tiba kwasababu :–

Kuna wengine wao ni wachapakazi hawategemei majungu,

Kuna wengine wao wavivu wazee wa kuunga unga hao wanategemea majungu na umbea kupeleka kwa boss yaani boss akiwepo wanaondoka kazini saa moja usiku boss akienda kwenye semina wao ndo wanapata uhuru wakienda lunch ndo ntolee,

Halafu kuna wale wakujipendekeza na kusifia kwa boss ili kwenye semina wawe wanakula shavu kazini bongo ni stress tupu.
 
Sijui utauchukuliaje ushauri huu ila ukitaka kufanikiwa fanya hivii;
Hakikisha ukiwa ofisini unatangaza njaa na shida mda wotee yaani wewe ni kulalamika kuwa huna kodi mara mshahara umeisha tarehe 5, ukienda lunch na wenzako hakikisha unalalamika na kujisemesha wakati wa kulipa muhimu hakikisha hakuna mbuzi yeyote hapo ofisini anafahamu kwako kama umejenga na iwapo imelazimika apajue basi wew waeleze kuwa hapo ni kwa shemeji yako.
Hii ni kwa sababu watu wengi maofisini hawapendi kusikia raha zako bali shida zako pekee, so ukiwaeleza shida tu watapata amani mioyoni mwao hivyo kukaa vikao vya kukupuuza.
 
Wakigundua kwamba hauna njaa ila unalia njaa, chuki itakuwa mara elfu 1, mana watakuwa wanaona unawasanifu ukiwa unalia njaa.
 
Uko sahihi sana, Mimi nalijua hili kwa undani wake, tena RC kunanuka kwani ni kimya kimya! Kama shwari kumbe dhoruba kali sana!!!
 
inaonekana wew ndio una matatizo hapo kazin kwenu, huwez kuona wenzako wana chuki unafki na uzushi halafu wewe uwe perfect, maana yake wew ni mchawi mfitini na unapenda umbea kufuatilia maisha ya watu... Fanyakazi maliza rudi nyumban acha kufuatilia yasiyokuhusu... Ila pole najua tatzo hulipwi vzuri
 
Sipo hivyo unavyosema
 
Dawa ya matatizo hayo ni kumuomba Mungu akuepushe nao.

Pili unatakiwa kuwa na faili lako binafsi la siri na kuhifadhi kila Jina la wale wanaokuzushia kukuchukia na kukufanyia unafiki.

Tatu andika mambo yao ya kihalifu wanayofanya Kwa Kuandika saa tarehe mwezi siku na Mwaka sehemu gani wametenda ikiwezekana tengeneza mazingira ya wao wafanye makosa bila kujua wanasukumwa wafanye makosa.

Nne lipua makosa yao sehemu hatari ambazo utaonesha na ushahidi ili wachukuliwe hatua Kali *****.Kaa kimya wakiwa wanatoka jasho Kwa matatizo.Kila la heri mhanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…