Chuki ya Afande Sele Kwa Joh Makini na Nikki wa Pili ni Chuki Kali Mbaya Mno

Acha utapeli K...
Oyaa utapeli nilikuambia ukweli hiyo ndio kazi inaniweka mjini aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚

Ni tapeli alafu mjanja mjanja kinoma, huko tiktok na insta nasumbua balaaπŸ˜‚
Kitu kingine siwezi kuacha ni matusi, huwa napenda kutukana kinoma
 
Mnamuandama sana Nikki wa Pili kwa kusalitiwa. Kana kwamba alipenda kusalitiwa. Nani kati yeti hakuwahi kusalitiwa?

Wivu, chuki na roho mbaya ni sifa za umasikini wa roho
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
 
Hii ndiyo rangi yako halisi....nilijua sikuzote kuwa wewe ni adui Ila huwa nacheka nanyi siku ziende mkuu.UmeshindaπŸ™
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ Sasa hapa uadui uko wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ kisa nimekuambia hivyo au hapa wewe ni kuweko content ila sio Mali yako
 
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
Ila una maisha easy kinoma, kuchat kula na kulala
Nguvu ya washeli?
 
Mnamuandama sana Nikki wa Pili kwa kusalitiwa. Kana kwamba alipenda kusalitiwa. Nani kati yeti hakuwahi kusalitiwa?

Wivu, chuki na roho mbaya ni sifa za umasikini wa roho
Madunya haya, humu hakuna wa kusogea karibu yangu huwa ninawasha moto nje ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…