Chuki ya Afande Sele Kwa Joh Makini na Nikki wa Pili ni Chuki Kali Mbaya Mno

Chuki ya Afande Sele Kwa Joh Makini na Nikki wa Pili ni Chuki Kali Mbaya Mno

Acha utapeli K...
Oyaa utapeli nilikuambia ukweli hiyo ndio kazi inaniweka mjini aisee😂😂

Ni tapeli alafu mjanja mjanja kinoma, huko tiktok na insta nasumbua balaa😂
Kitu kingine siwezi kuacha ni matusi, huwa napenda kutukana kinoma
 
Mnamuandama sana Nikki wa Pili kwa kusalitiwa. Kana kwamba alipenda kusalitiwa. Nani kati yeti hakuwahi kusalitiwa?

Wivu, chuki na roho mbaya ni sifa za umasikini wa roho
😂😁😁😁😁😁😁😁😂😁😁😁😁😁😁😁😁😂
 
Hii ndiyo rangi yako halisi....nilijua sikuzote kuwa wewe ni adui Ila huwa nacheka nanyi siku ziende mkuu.Umeshinda🙏
😁😂😂😂😁😁 Sasa hapa uadui uko wapi 😂😂😁😁 kisa nimekuambia hivyo au hapa wewe ni kuweko content ila sio Mali yako
 
Mnamuandama sana Nikki wa Pili kwa kusalitiwa. Kana kwamba alipenda kusalitiwa. Nani kati yeti hakuwahi kusalitiwa?

Wivu, chuki na roho mbaya ni sifa za umasikini wa roho
Madunya haya, humu hakuna wa kusogea karibu yangu huwa ninawasha moto nje ndani
 
Back
Top Bottom