Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Ni wakat sasa huyu mama Akamtafuta mzaz mwenzake
kukaa chini na kusamehane maisha Hayana garantee haya leo upo juu kesho upo chin

Roho yangu inaniuma kumuona mzee kama yure Kutaabika nawakat anamtt mwenye uwezo

Yure mzee anamakosa mengi sana bt Mzazi ni mzazi Hata kama Ni Mlemavu

aaaaarrrrgggg


waiter zungusha tena [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Huo unafik sasa
 
Ameshajua udhaifu wa dai ni watoto bac kiburi kimemjaa hatari, saa hizi dai anamrusha mama yake tu roho maana anajua hapendi
 
Ameshajua udhaifu wa dai ni watoto bac kiburi kimemjaa hatari, saa hizi dai anamrusha mama yake tu roho maana anajua hapendi
Mwisho wa siku yule mama akinyongea tu vyote vinaondoka hvyoo!

Huyo zari angekua anampenda dai si angekuja mwaka2008...

Dai anachokifanya yule...

Sio mjinga haswa kipindi hiki mjamzito!anapaswa kuwa mpole!
 
Mama Diamond ndiye nani?
 
Umemaliza geni bora ukubalike kwa mama mkwe ata kama ww na mumeo hamuelewani
 
usijali shemej nakuja soon namalizia kuvuna

wwe andaa tu meno

haya nipe ya Mama Diamond namii niwasimlie huku bushi kwetu wanione mjanjaaaa
Na mm nataka mishikaki [emoji134]
 
Mama gani atakubali mtto wake atoke na mwanamke aliyemzidi miaka mingi ata kama n ww utakubali uletewe mkwe wa hivyo na mtto wako, zari ana kiburi mtu gan huelewan na mama mkwe wifi kweli najifanyaga mjinga nikienda kwa mama mkwe mm ndo house gal kaz zote mm utafanyaje huna jins ndo ukweni raha ukiludi kwako unajifanya mjinga yako yanakuendea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…