Anaona wivu mana yeye hakuwahi kuhongwa kama anavyohongwa zari,[emoji23] [emoji23] [emoji23] wivu ni kidonda na ndo mana nyama Hamna pale,wakwe wa dizain hyo nawataman kiseng yaniHuyu mama amekosa nini kwa mwanae mpaka amfuatilie hivyo?
Hana nyumba ya kuishi? Hapati pesa ya mavazi, chakula na matumizi mengine?
haya twenzetu pm ukachukua mwaliko wakoNaweza
Bas aolew yeye na mwanae ili neno la nani kama mama litimieUsimlaumu sana huyu mama maana uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi na ujue huyo mama ameshaiona future ya huo uhusiano sio nzuri.Mtaongea sana hapa but mwisho wa siku ni " Nani kama Mama"?
The first and most responsibility of any mum ni kumlinda mwanae!!
Hapo ndo tunapofeli!Ahahaaaa kwakwel hapana. Ntamnyenyekea mama angu mzazi. Uyo mama mkwe atanyenyekewa na mwanae aliyemzaa.
Wakwe ni changamoto jmn wengine 2najionea ata umbebe na mbeleko lipi km hatak kubebeka ni habebeki.
Familia ya mondi ya kiswazi sana, bi sanura alizoea kunyenyekewa na kina penny na wema lkn anawazodoa behind their backs. Ss kakutana na mwali wa kiganda. Kila m2 aishi maisha yake bna. Mkwe anaongea na mwanae wakiwa na nguo, mke anaongea na mwanae wakiwa uchi.
Ila wema alijishusha akamchukulia jinsi alivyoBi Sandra ni zaidi ya mswahili,yule mama nahs anataman mwanae asiwe na mwanamke kabsa mana hata kwa wema walisema mengi sana.
Mtashindwa kucomment kwenye jukwaa lenu la siasaNingefurahi mitandao ipunguze bando
Zaidi
Walau 2Mb kwa 1000
hapo utatufanya tuombe mex mello tuwe twaingia jamii forum kwa sms za kawaidaaNingefurahi mitandao ipunguze bando
Zaidi
Walau 2Mb kwa 1000
Mwenye ubavu hatashindwaMtashindwa kucomment kwenye jukwaa lenu la siasa
shunie kweli mama ni mma lkn mama huwezi kunifata kila mahali isitoshe huyo mama ni mwislam anajua kabisa ndoa zao zikoje.Hamna wambeke mama ni mama anajua maisha aliyosota na mtto wake
Hahaha haina utamuhapo utatufanya tuombe mex mello tuwe twaingia jamii forum kwa sms za kawaidaa
Kumbe mnamjua mswahili...Bi Sandra ni zaidi ya mswahili,yule mama nahs anataman mwanae asiwe na mwanamke kabsa mana hata kwa wema walisema mengi sana.
Alijishusha ndio ila mwisho wake na mondi si waliachana tu,tena wakawa wanampigia promo penny,sasa mondi ameshajua mbaya wake nani ndo mana sasa hawasikilizi tena,uswahili wa bi Sandra na wanae ni mziki mnene ambayo ni zari tu anaweza kuuchezaIla wema alijishusha akamchukulia jinsi alivyo
Ndivyo bibi tukinao anachopaswa kufanya
Si alishajengewa tandale ,sema ndo kutoka Madale wamegoma tena adi mondi kaona anunue Nyumba south,[emoji23] ...sasa sijui watahamia south tena.Kumbe mnamjua mswahili...
Sisi wenyewe humu tupo wenye magubi kwa mawifi zetu!
Yule mswahili ndo ashakua hvyo!
Kumuepuka mjengeeni akae mbali!
Km kazaliwa chooni....mama mkwe mwenyewe huyo-si atakutia vidole vya macho-au ujamuona huko insta anatema kama dot com generation
what if diamond called her mom back?!!Si alishajengewa tandale ,sema ndo kutoka Madale wamegoma tena adi mondi kaona anunue Nyumba south,[emoji23] ...sasa sijui watahamia south tena.