Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Usimlaumu sana huyu mama maana uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi na ujue huyo mama ameshaiona future ya huo uhusiano sio nzuri.Mtaongea sana hapa but mwisho wa siku ni " Nani kama Mama"?
The first and most responsibility of any mum ni kumlinda mwanae!!
Bas aolew yeye na mwanae ili neno la nani kama mama litimie
 
Ahahaaaa kwakwel hapana. Ntamnyenyekea mama angu mzazi. Uyo mama mkwe atanyenyekewa na mwanae aliyemzaa.
Wakwe ni changamoto jmn wengine 2najionea ata umbebe na mbeleko lipi km hatak kubebeka ni habebeki.
Familia ya mondi ya kiswazi sana, bi sanura alizoea kunyenyekewa na kina penny na wema lkn anawazodoa behind their backs. Ss kakutana na mwali wa kiganda. Kila m2 aishi maisha yake bna. Mkwe anaongea na mwanae wakiwa na nguo, mke anaongea na mwanae wakiwa uchi.
Hapo ndo tunapofeli!

Mama mkwe wako sio mama ako?

Haijalishi unaongea na nguo au uchi!

Mimi km mm naheshimu mnoo mama mkwe

Aniseme,aninyambue,atajijua mwenyewe yule mie mzazi wangu km kanizalia Mme wangu!

Nashukuru sana hilo la kua kimya lilinisaidia sana
.Wananipenda balàa yaani!
 
Bi Sandra ni zaidi ya mswahili,yule mama nahs anataman mwanae asiwe na mwanamke kabsa mana hata kwa wema walisema mengi sana.
Ila wema alijishusha akamchukulia jinsi alivyo

Ndivyo bibi tukinao anachopaswa kufanya
 
Hamna wambeke mama ni mama anajua maisha aliyosota na mtto wake
shunie kweli mama ni mma lkn mama huwezi kunifata kila mahali isitoshe huyo mama ni mwislam anajua kabisa ndoa zao zikoje.

lazima ajifunze kumuacha Dai na maisha yake.

na Ndomo nae amwambie mama mapenzi yangu kwako ni makubwa sana na hayana kifani natambua kabisa mchango wako katika maisha yangu

lakin sasa niache nijenge familia yangu na mke wangu na mtoto wangu
amwambie mama nimekuwa na wewe kwa mda gani ni nini nimefanya zaidi ya starehe za hapa na pale

na kuishia kugongewe tu na kuzalia chooni

nimekuwa na Penny nimepiga bila faida mbona ulikuwa husemi?

huyu dada licha ya umaarufu wae amemua kunizalia kunitengenezea familia muache sasa inatosha
 
Bi Sandra ni zaidi ya mswahili,yule mama nahs anataman mwanae asiwe na mwanamke kabsa mana hata kwa wema walisema mengi sana.
Kumbe mnamjua mswahili...

Sisi wenyewe humu tupo wenye magubu kwa mawifi zetu!

Yule mswahili ndo ashakua hvyo!

Kumuepuka mjengeeni akae mbali!
 
Ila wema alijishusha akamchukulia jinsi alivyo

Ndivyo bibi tukinao anachopaswa kufanya
Alijishusha ndio ila mwisho wake na mondi si waliachana tu,tena wakawa wanampigia promo penny,sasa mondi ameshajua mbaya wake nani ndo mana sasa hawasikilizi tena,uswahili wa bi Sandra na wanae ni mziki mnene ambayo ni zari tu anaweza kuucheza
 
1474660589032.png
1474660607036.png
1474660636199.png
zari na ivan majibizano yao
 
Si alishajengewa tandale ,sema ndo kutoka Madale wamegoma tena adi mondi kaona anunue Nyumba south,[emoji23] ...sasa sijui watahamia south tena.
what if diamond called her mom back?!!

Wadada tujifunze kujenga familia za watu badala ya kuwa wabomoaji!
 
Back
Top Bottom