Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Si alishajengewa tandale ,sema ndo kutoka Madale wamegoma tena adi mondi kaona anunue Nyumba south,[emoji23] ...sasa sijui watahamia south tena.
Huyu mama mi ana wivu sna na mwanae...huyu akibebishwa na mwanae huenda ndio atatulia
 
Wanaume wa jf wanafiki sana, leo mnamponda mama diamond kwa kutompenda Zari,
Wakati humu zimejaa nyuzi kibao mnapeana onyo msioe wanawakae wenye watoto,
Sasa mbona Mnataka Domo awe na Zari

Hata mi siwez ruhusu mwanangu aoe mmama mtu mzima mwenye watoto wa4
 

Kama kapenda na anataka wewe utamzuiaje?

Utamfunga kamba halafu umfungie chumbani?
 
Mmmhuuuuu.
Mwanamke usiseme yote, mengine weka akiba.
Just an advice.
 


Haya madini nimeyapenda...wewe ni mwanamke unaefaa kwa matumizi yenye hadhi ya kuitwa "mke". A rare gem...safi sana best ! Kadri siku zinavyosogea ndio mimi ninavyozidi kukuelewa pia...ha ha ha
 


Kwa kweli akinitia kidole cha macho lazima nimchenjie hata km mama yangu mzazi, truth be told , hata km hatoniheshimu, akivuka level yangu nayoweza kuvumilia, wazazi sio Mungu, ni binadamu km wewe, they make mistakes, tunachofanya ni kuwaheshimu wametuzidi umri lkn akiku treat ndivyo sivyo ikapita kiasi uko kimya tu i'm sore to say thats not really smart. Treat me like a grown up niheshimu nikuheshimu tuheshimiane km mama na mtoto knowing, we both have feelings, ukivuka level ya mimi kukuheshimu, sitokuheshimu hata uwe na miaka 200, hata mie mzazi wangu asingenizaa, huyo mwanae asingepata mke. Period! Maisha yallivyo magumu kubebana stress zisizo muhimu km mama mkwe no thanks,
Sometimes people treat you the way you let them treat you, ugenini km ukweni, respect them ila chokochoko ikizidi, make them have some several seats and live your life.

Mbaya zaidi ukute mama mkwe anakuzingua wkt mwanae ana tabia iliyooza, kha! Ataisoma namba kwa kweli.
 
Kwani Tiffah kuna mdogo wake anakuja? Hao wanawake wengine anaomtaftia mwamae hawazai?
Huyo mama hajui kwamba mwanae kapanda chati kwa ajili ya nyota ya Zari? The good thing naona Dimond ameiona. .na hadanganyiki! Big up Mondi
 
yes. yapo sana tena. mawifi na mama mkwe kumchukia mke wa ndugu yao pasipo na sababu ya msingi. basi tu ni chuki binafsi.
hii tabia hunikera sana. unaweza kuta na wewe hapo unabeef na mke wa kaka yako!
 
Well said
 
Hapa ndipo ninapomkubali Chibu Dangote a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Simba a.k.a Vampire real name Naseeb Abdul!! This's TRUE DUDE! Wengi wanafahamu jinsi Diamond alivyo na mapenzi kwa mama yake! Wengi wanafahamu Diamond anavyowapenda ndugu zake!! Lakini linapokuja suala lake yeye binafsi mwenye maamuzi ni yeye! Kwa maisha ya Diamond angekuwa ni mtu wa kuyumbishwa na ndugu hata Wema asingedumu nae!!

Hapa najua tutamsema sana mama ake Diamond lakini ukweli ni kwamba akina mama na akina dada wa Kibongo majority wapo kama mama yake Diamond na wanae wa kike... na haijalishi kwamba ni mama wa Ushuani au mama wa Uswahilini kama wa kwetu sie wengine! Hapa ndo pale utasikia dume zima linalalamika eti dada ake anamvurugia mahusiano yake... fuc'k you! Yaani mwanaume mzima akusumbue dada ako kwenye mahusiano?!

So, Bi. Sandra, we endelea kutimiza wajibu wako wa kuchonga manake akina mama wa Kibongo ndo mlivyo... awe Mama wa Masaki mwenye digrii 3 au Mama wa Mihogoni aliyeishia darasa la II! Ili maandiko yatimie, nyie ni hadi muingilie mahusiano ya watoto wenu, hususani wa kiume! In short, u selfish unawasumbua!

Chibu kwa upande wako endelea kukaza... usii-let down True Male Institution! Ni mwanaume aliye weak and probably with some female hormones ndie uhusiano wake unaweza kuyumbishwa hadi kufikia kuvunjika kwa ajili ya ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…