princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
wewe hebu mpishe mama diamond..
hivi hata wewe ungefurahi unateseka na mwanao..
halafu anakuja mtu mzima wa kulingana na wewe anajifanya ndo mke halali...
kisa kazaa...
hakuna anaetaka mwanae aoe mzee, wala kuishi na mzee..
isitoshe tabia ya zari, dharau na ubinafsi lazima mzazi aumie.. kwani mwanzo hakumpenda.. lazima zari ana shombo sana , afu anajiona kama queen, Tz hakuna wa kumfananisha..
halafu kashakua mtu mzima , anatakiwa afanye vitu kiutu uzima.. sio kubishana na vitoto mitandaoni!!
ama tabia mbaya , ndio maana birthday yake imebuma!!
na asirudie kufanya whiteparty Tz maana itabuma.