Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Sikieni binamu mama mkwe ni sawa na mama ako mzazi

Kwanza mheshimu maana bila yy usingepata Mme au mpenzi

Pili Mnyenyekee sana mama mkwe hapa tunaongela sie waafrica mkwe ndo kila kitu we muache hata akikutia kidole cha macho mpotezee tu jenga picha unaweza kumjibu,kumdharau au kmtusi mama yako mzazi?

Tatu usibishane na mama mkwe hata Siku moja haswa kwa mtoto ambae amelelewa na mama tu!maana amepitia tabu zote peke yake!

Cha msingi we piga kimya tu,akutusi akuseme akudharau wee nyamaza!

Mwisho kabisa ukienda ukweni acha Drama jifanye malaika,uvivu weka pembeni!

Fanya kazi km huna akili nzuri!

Ishi nao vizuri,punguza majivuno kua mpole tu!

Ili hata km wakiskia una vituko wasiamini!
we umeolewa???? Maana kwa experience yangu mama mara nyingi wanaingiaga kwenye conflicts na wake za watoto zao. Cha kufanya ki ku create space kwa ajili ya wote wawili ila ukisema uwaweka pamoja kitanuka tu.
 
Yes nlikaa na mama mkwe tena mtata Ila Mimi niliifata Yale anayoyataka miezi mi3 Niko nae

Mpk akasema hivi"sikujuaga kua mabinti wa mjini wapo wenye maadili hivi"

Maana tulikua wanne Ila mm ndo nilikua jembe,napotezea kila kitu,wao wanataka walete ushindani na mama wa mumeo

Yote kwa yote heshimu mzazi wa mmeo!

Kwani shilingi ngapi....!!!
 
teh teh teh we kiboko wachache sana wanaweza kuvumilia...
 
Siwezagi kunyanyua mdomo kubishana na Mtu mzima hata siku moja!

Mzazi wangu mwenyewe sijawahi kumbisha hua nikiona nimeonewa nalia tu,nanyamaza maisha yanaenda!

Hvyo hata wa mwenzangu namheshimu,mtu yyte anaemjibu mkwewe vbya hata mzazi wake anamjibisha pia
 
Mmh ila wakwe hawa wanataka uwe mpole tu kuishi nao haswa wakiwa na GUBU. Napenda sana wazungu wanavoishi. Kila mtu kwaooooo. Nyie mnadhan ma chibu angekua anakaa kwake yote hayo yangetokea? Vikombe vinagongana sembuse cc binadamu tena WANAWAKE!? Cjawai ckia et mume haelewani na baba mkwe hata cku moja. Ila ma mkwe na ma wifi ni vichefu chefu aiseee in most cases. Ila yote haya chanzo chake ni kwasababu sisi WANAWAKE HATUPENDANI NATURALLY..cjui tumerogwa?
 
Wewe ni mwanamke bora! Are you occupied irk? Anyway, ni rahisi ku-solve tatizo wakati unafahamu chanzo chake! Wengine hapa wamebaki kuwasemanga mama zetu sie wa huku Uswahilini wakati ukweli ni kwamba akina mama na madada wengi ni majipu linapokuja suala la mahusiano ya watoto wao, iwe ni wa Uswahilini au Uzunguni!! Lakini ngoja nikuambie... kwa mwanamke unatakiwa upate mama mkwe na mawifi wa aina hii angalau kwa muda ili ufahamu uimara wa boyfriend/mumeo! Ukiona mama anamwaga povu halafu ndo kwanza boyfriend anakuandalia amazing birthday party; hapo unafahamu; YES, this's him! Na baada ya hapo ndo unatafuta namna ya kumridhisha mama mkwe. Binafsi dada angu hawezi kuninyima usingizi... sana sana akizidi kuchonga atarajie makonde aendelee kuchonga vizuri labda kama huko anakomegwa na mimi huwa namfuatilia!
 
Mkuu nimekusoma,lakini pia mke anapaswa amsome mama mkwe wake anataka maisha ya aina gani,ili kama kuna tofauti ya kimtazamo basi aweze kutafuta namna ya kumleta karibu mama mkwe wake
 
Hivi kwaniin huyu mama anamchukia sana mzazi mwenzie na mwanae(Zari)? Naona hali imefikia pabaya mpaka kufikia hatua ya kuongea maneno magumu Kwenye mitandao ya kijamii.

Tunajua Zari ana mapungufu yake ndio ila sio kwa bifu hilo, anajitahidi kumtafutia mwanae wanawake wengine ili tu waachane na Zari. Najua kinachomuuma ni mali za mwanae, anajua Zari akizidi kuzaa ndo Mali zitakapozidi kupotea mikononi mwake.

Pia nahisi mama domo anatamani kabisa mwanae asingezaa ili afaidi vizuri mali za mwanae, maana sio kwa chuki hizi kwa Zari.
Unge nukuu alichokiandika kwa faida ya sisi ambao instagram haisomeki,ingependeza sana
 
Hakuna kitu kibaya kama kugombana na mama mkwe wako, wanaweza wote wakawa na makosa lakini naona Zari ana makosa zaidi.
 
Mkuu nimekusoma,lakini pia mke anapaswa amsome mama mkwe wake anataka maisha ya aina gani,ili kama kuna tofauti ya kimtazamo basi aweze kutafuta namna ya kumleta karibu mama mkwe wake
Yah, na hicho ndicho nilichokisema hapo juu! Kwamba, hatimae mwanamke atafahamu kwamba mwanaume wake hayumbishwi na ndipo anaangalia namna gani anaweza kuishi kwa amani na mama mkwe wake... sio akina dada! Hawa akina dada mimi huwa hawanisumbui hata kidogo kv wanatakiwa kuishi ninavyotaka mimi na sio mimi niishi wanavyotaka wao. Lakini mwanaume ukiwa weak; hata dada zako wataisumbua ndoa yako!!
 
Back
Top Bottom