Chuki ya wachezaji kwa Jose Mourinho ndiyo Ilimsaida Before Ole Solskjaer

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kuna jambo ambalo nadhani Jose anapaswa kulifahamu. Mahusiano yake na wachezaji wa team hzi kubwa.hasa wale ambao amewakuta.

Tuliona jinsi ambavyo alikosana na wachezaji wa Chelsea wakaamua kumchoma kwa kutokupata ushindi mwishowe akafukuzwa.

Akaja kutana na tatizo kama hilo tena Manchester na mwishowe akafukuzwa tena.

Ole Solskjaer alipochukua team ilikuwa na mzuka wa to get rid of Mourinho na kuonesha kuwa tatizo lilikuwa ni Mourinho hapo Manchester ilikuwa ikicheza kwa jihad sana.kufa na kupona ili kudhihirisha kuwa tatizo sio wao.

Ile spirit imeenda imeisha ...nguvu ya soda.sasa watu wameanza tena kujipigia Manchester kama kawaida. Ole alishagundua tatizo la Jose lilikuwa nini.so akawa kama anawaacha wachezaji wacheze watakavyo na kuwapa ka uhuru flani uwanjani.

Baada ya mkataba things wont be the same. Atataka awe kama manager...tayari alishawadekeza wachezaji wake. Si jambo la ajabu naye wakaanza kumfanyia hujuma.

Namshauri akiona vipi awapige chini wachezaji walioongoza mgomo kwa Jose asajili wapya.asidhani atakuwa salama chini ya wachezaji hao maana tayari wao wanadhani ni masikio yanayoweza kuzidi kichwa.
 
Umechambua vzr sana Chifu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole alipochukua team aliwa-overwork wachezaji wake, yani hii hali wachambuzi walishaiona mapema. Ontop of that, wamekuja majeruhi wengi pia.
In the long run Ole atafanikiwa sana hapo Traford.
 
You are 100% accurate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…