Chuki yangu Kwa Lionel Messi na Ronaldinho ilifanya nishindwe kutazama soka safi kutoka Kwa FC Barcelona

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
680
Reaction score
1,306
Unazi wa kupindukia Kwa real Madrid na Manchester united ulifanya nishindwe kutazama mechi nyingi za fc Barcelona

Huwa najilaumu Kwa kujikosesha nafasi ya kuangalia soka safi na linalovutia hasa kutoka Kwa hao mafundi wawili enzi hizo wakiwa moto.
 
jifunze kuwa mshabiki wa mpira kabla ya kuwa mshabiki wa team..
utakosa mambo mengi mazuri
 
Watu wengi wasichokifahamu mleta mada mkuda ambae anawasifia hayo mazezeta yake ( Andunje na mtikisa makalio) pamoja UTOPOLO (BARCA) KIJANJA .
 
Unazi wa kupindukia Kwa real Madrid na Manchester united ulifanya nishindwe kutazama mechi nyingi za fc Barcelona

Huwa najilaumu Kwa kujikosesha nafasi ya kuangalia soka safi na linalovutia hasa kutoka Kwa hao mafundi wawili enzi hizo wakiwa moto.

Fact, gaucho hakua na chochote cha kuwazidi hao wote.
mi huwa naonaga dinho alikua overrated sana.. thou alikua mchezaji mzuri.

huwa naamini zizou alikua bora kuliko rinaldinho..

japokua nampenda dinho kuliko zizou
 
Unazi wa kupindukia Kwa real Madrid na Manchester united ulifanya nishindwe kutazama mechi nyingi za fc Barcelona

Huwa najilaumu Kwa kujikosesha nafasi ya kuangalia soka safi na linalovutia hasa kutoka Kwa hao mafundi wawili enzi hizo wakiwa moto.
Majuto ni mjukuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…