Chuki yangu Kwa Lionel Messi na Ronaldinho ilifanya nishindwe kutazama soka safi kutoka Kwa FC Barcelona

Chuki yangu Kwa Lionel Messi na Ronaldinho ilifanya nishindwe kutazama soka safi kutoka Kwa FC Barcelona

mi huwa naonaga dinho alikua overrated sana.. thou alikua mchezaji mzuri.

huwa naamini zizou alikua bora kuliko rinaldinho..

japokua nampenda dinho kuliko zizou

Sahihi kabisa mkuu olele, kuna wengine mahaba niuwe na mpaka wanatuaminisha alikua bora utafikiri sisi wengine hatukumshuhudia.

Yah zidane ni more than ronaldinho.

Hii mashine nyingine Armando

Saivi umebaki kuangalia utopolo wa Man United. Team inamaliza msimu na Goal Difference negative [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, ingawa huwezi kumuua aliyekwisha kufa, lakini, hebu utupe hata heshima kidogo. Hatukumaliza ligi kwa goal difference negative! Magoli tuliyofungwa, yanafanana na tuliyofunga!
Binafsi, pamoja na U Manutd wangu, nilikuwa sichoki kumuangalia Gaucho akicheza. Pale Bolton, nilikuwa nampenda sana Okocha. Real, kulikuwa na Zizou. Asenal, kulikuwa na Mkwe wetu Denis B'mp!
 
Hatujapishana sana mkuu
 
Pole sana hujawahi kuangalia Barcelona ya Xavi, Iniesta na Messi wakiwa chini ya Guadiola...basi bado hujawahi kuona soka.
Barca ya guadiola ilikua kichomi balaa,
Hizo nyingine zinapaishwa TU Kwasababu ya legacy, ila fact Ni walikua wa Kawaida mno
 
Mwamba wa soka
Man of skills
Talented boy
The Brazilian

Father of dribbling

Nashindwa kumuelezea vizuri huyu jamaa

Nitarudi
 
Ukitaka kufurahia soka, pendo mchezo wa soka na si timu wala wachezaji, hutajutia mda wako.
 
Katika maisha yangu ya soka siwezi kukaa na kupoteza muda kuangalia timu zifuatazo zikicheza mpira
1.Barcelona
2.Manchester United
3.Liverpool
4.Simba
 
Katika maisha yangu ya soka siwezi kukaa na kupoteza muda kuangalia timu zifuatazo zikicheza mpira
1.Barcelona
2.Manchester United
3.Liverpool
4.Simba
Unakosa vitu vingi mkuu
 
Back
Top Bottom