Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
mi huwa naonaga dinho alikua overrated sana.. thou alikua mchezaji mzuri.
huwa naamini zizou alikua bora kuliko rinaldinho..
japokua nampenda dinho kuliko zizou
Mkuu, ingawa huwezi kumuua aliyekwisha kufa, lakini, hebu utupe hata heshima kidogo. Hatukumaliza ligi kwa goal difference negative! Magoli tuliyofungwa, yanafanana na tuliyofunga!Saivi umebaki kuangalia utopolo wa Man United. Team inamaliza msimu na Goal Difference negative [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatujapishana sana mkuuMkuu, ingawa huwezi kumuua aliyekwisha kufa, lakini, hebu utupe hata heshima kidogo. Hatukumaliza ligi kwa goal difference negative! Magoli tuliyofungwa, yanafanana na tuliyofunga!
Binafsi, pamoja na U Manutd wangu, nilikuwa sichoki kumuangalia Gaucho akicheza. Pale Bolton, nilikuwa nampenda sana Okocha. Real, kulikuwa na Zizou. Asenal, kulikuwa na Mkwe wetu Denis B'mp!
Yaani msimu uliopita, tumetia aibu kubwa sana!Hatujapishana sana mkuu
Zizou ndo best footballer niliyewahi kumuona, ingawa sikubaliani na wewe kwamba Dinho alikuwa overrated.mi huwa naonaga dinho alikua overrated sana.. thou alikua mchezaji mzuri.
huwa naamini zizou alikua bora kuliko rinaldinho..
japokua nampenda dinho kuliko zizou
Yaan negative-unadaiwa[emoji23]Saivi umebaki kuangalia utopolo wa Man United. Team inamaliza msimu na Goal Difference negative [emoji23][emoji23][emoji23]
Barca ya guadiola ilikua kichomi balaa,Pole sana hujawahi kuangalia Barcelona ya Xavi, Iniesta na Messi wakiwa chini ya Guadiola...basi bado hujawahi kuona soka.
Unakosa vitu vingi mkuuKatika maisha yangu ya soka siwezi kukaa na kupoteza muda kuangalia timu zifuatazo zikicheza mpira
1.Barcelona
2.Manchester United
3.Liverpool
4.Simba