CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,093
Huwa najitahidi sana kuwa Positive na kuwachukulia hawa watu kama wafanyakazi wengine wenye wajibu wao kisheria, lakini hawa watu wamejiweka kwenye zone yao ya ULAFI, KUKOSA UTU, TAMAA NA UPUMBAVU.
Imagine hawa watu wako pale kujipatia elfu 5 na elfu 2 za watu bila huruma, hawanaga utamaduni wa kuelimisha wala kutoa onyo kwa mtu ambaye huenda hata hakuwa anajua Jambo. Wao ni kutishia kukuandikia fine ama la sivyo ukunje ka elf 5 Umpe akanywe supu na bia. VERY STUPID.
Nimetoka kwenda kwenye mihangaiko Yangu, nimefika sehem nasimamishwa, naombwa card ya gari na Lesseni, nimetoa copy ya card yangu na lessen, tatizo COPY YA CARD haina verification sticker ya TRA, kumweleza kwamba nimesahau yenye sticker haelewi, huku wakichombezana na mwenzake Mwandikieeee huyo. Kila ukiwaeleza kwamba wana nafasi ya kuelimisha watu kwanza badala ya kuwaza fine ambazo hata wao haziwasaidii, wanakenua meno na kuhisi wanakukomoa.
Wakaandika Mkeka wao na nikaondoka na maumivu ya elf 30, bad enough hawajui kama nawafaham na kuna Engle ntakutana nao na ntatumia pia nafasi yangu kuwakumbusha ujinga wao.
Hawa watu wameoza kwenye ulafi na tamaa za kijinga.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app