Imethibitishwa na wanasayansi katika maziwa makuu haya matunda damu ni mazuri sana kwa choo kigumu. Ukiyala kila siku ukienda chooni hutakakamaa. Yana vitamin za kutosha.Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko.
Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia.
Tuweke siasa kando linapokuja suala la kupambana na uharifu sio kukomaa tu bila kutumia akili
👇Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi