BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Ukinichukia nakuchukia titi 4 tati,ukinipenda nakupenda titi 4 tati...
Kuchukua ubingwa mara tatu mfululizo,nakuingia fainali shirikisho kumejenga chuki dhidi ya viongozi wa simba juu ya yanga,mwanzoni aimba ilijitapa kuwa hao ndio wanaiwakilisha tanzania vinzuri lakini vichaka vyote walivyokuwa wanajificha vimefekwa,vipigo vya mara 4 mfululizo vimewatengenezea sumu juu ya club ya yanga,ndo maana sasa wamekuja na kauli ya ubaya ubwela,na visababu eti yanga inatumia sindano za nguvu,na waambia hivi simba shimo unalochimba wenyewe ndio litakalo wazika..
Sasa hivi wamekuja na mbinu ya kuwachezea rafu wachezaji wa yanga kwa kuhonga pesa kwenye timu zinazokutana na yanga,sawa nyie endeleeni kuturogea wachezaji wetu,lakini mmoja hamtamuweza maxi zengeli church boy huyu ni moto na anarindwa na damu ya yesu.
Nawaambia hivi simba tambeni sasa hivi ndo fursa mliyopata,lakini nawaambia yanga hii unayoizarau na kuiletea maneno ya kashifa inaenda kuchukua ubingwa wa AFRICA,na mtakuja kusadiki maneno yangu nawaomba viongozi wa jamii huu uzi uwekwe tayari pindi yanga ikichukua ubingwa ni pewe maua yangu..
Jiwe walilolikataa limekuwa jiwe muhimu,na yeyote achezeaye jiwe hilo litamponda na kumsaga,jiwe hilo ni yanga...