BR Stationary
Member
- Oct 7, 2026
- 9
- 16
Hizi ndio codes zangu ofisini(maeneo ya kazi). Hakuna anayemfahamu kabisa and it brought me a peaceful mind kwa sababu drama nyingi zinatokana na kufahamiana maofisini?Mwanaume.
1. Kuwa adimu, usipatikane kila sehemu.
2. Kuwa na LOGIC, usiendeshwe na HISIA.
3. Jua unataka nini, usiwe mfuasi na shibiki
4. Kuwa na mipaka, sio kila mtu ni wa waku-engage nae.
5. Linda attention yako, sio kila jambo nilakufatilia.
Being MAN isn’t easy.
Kwa nini?😂 Hakuna jipya hapo
Mipaka muhimu mzeeTafuta pesa
6. Jua muda gani ni wa kuingia na muda gani ni wa kutoka.Being MAN isn’t easy.
Kwa sababu hakuna jipyaKwa nini?