Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kukua na bandiko vinauhusiano gani??Duuhh we hujakua bado!yaani uende spitali kuokota hicho kidude afu uweke kwenye pochi??!!!angalia usije kupata kichocho tu
safi sana tumejichokeaUkiona kila siku kuna pesa inapotea kwenye wallet yako Kila wakati unapo ondoka home asubuhi. Basi wala hata usiumize sana kichwa kumtafuta mwizi wako,we Nunua packet 1 ya Dume au Salama(kandamu), katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax . Mwizi atajitokeza mwenyewe.[emoji1] [emoji1]
hatuwezi zidiwa akili na wezi sisi.
Hii kali....Utampata mwizi ila utatumia muda mwingi kusolve kimbembe kitakacho jitokeza..Ukiona kila siku kuna pesa inapotea kwenye wallet yako Kila wakati unapo ondoka home asubuhi. Basi wala hata usiumize sana kichwa kumtafuta mwizi wako,we Nunua packet 1 ya Dume au Salama(kandamu), katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax . Mwizi atajitokeza mwenyewe.[emoji1] [emoji1]
hatuwezi zidiwa akili na wezi sisi.
Ok poapoaMkuu jiongeze,Lugha sanifu
Sijaoa kiongozi ndiyo maana labda umeona udhaifu huo kwenye comment yangu.Hatukatai,lakini rejea,chochote kuchukua bila idhini inahesabika ni wizi,sasa kunaubaya akaomba??
Au nawe huwa unazama ktk Pochi la mkeo
Don't try it at home [emoji379] [emoji379] [emoji378]Ukiona kila siku kuna pesa inapotea kwenye wallet yako Kila wakati unapo ondoka home asubuhi. Basi wala hata usiumize sana kichwa kumtafuta mwizi wako,we Nunua packet 1 ya Dume au Salama(kandamu), katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax . Mwizi atajitokeza mwenyewe.[emoji1] [emoji1]
hatuwezi zidiwa akili na wezi sisi.