Chukua hii bure,Kwa wanaume walio OA tu.

Mkeo utamwitaje mwizi?
Kumbuka huo ni mwili wako.
Mweleze tu kwa upole atakuelewa.
Hatukatai,lakini rejea,chochote kuchukua bila idhini inahesabika ni wizi,sasa kunaubaya akaomba??
Au nawe huwa unazama ktk Pochi la mkeo
 
He he mwenyewe nazichukuaga hizo
 
Hapana aseee hio mbinu baki nayo..
Mana kuna wanawake wamejaaliwa kuongea jamani acha tu, ni bora aendelee kubeba hizo chenji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuhh we hujakua bado!yaani uende spitali kuokota hicho kidude afu uweke kwenye pochi??!!!angalia usije kupata kichocho tu
Mkuu kukua na bandiko vinauhusiano gani??
Mbona huwa mnaenda mochwali kuomba maji ya maiti ili mpige pesa ktk biashara zenu
 
safi sana tumejichokea
 
Hii kali....Utampata mwizi ila utatumia muda mwingi kusolve kimbembe kitakacho jitokeza..
 
hiyo haitaiacha ndoa salama,lazima itatikisika vilivyo![emoji849]
 
Hatukatai,lakini rejea,chochote kuchukua bila idhini inahesabika ni wizi,sasa kunaubaya akaomba??
Au nawe huwa unazama ktk Pochi la mkeo
Sijaoa kiongozi ndiyo maana labda umeona udhaifu huo kwenye comment yangu.

Sasa ukishagundua huwa anazichukua, kwanini usimweleze kwa upole na umakini!
Au ukitumia njia hiyo ndipo utafurahi?

Sitetei wizi bali naangalia uzito wa mke na kumfanyia ukatili huo
 
Don't try it at home [emoji379] [emoji379] [emoji378]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…