Chukua Hii: Ishu ya Jezi za Simba Kuchelewa

Confidentiality?

Kuna siri ya zaidi ya watu 2?
 
Tundu lililokuwa linavujisha lilishazibwa kitambo hapa unachofanya ni kupiga ramli chonganishi tu. Subiri taarifa rasmi kutoka vyanzo rasmi, hizi taarifa zako ni stori za kwenye kahawa kuchangamsha kijiwe
 
Asante kwa za ndaaaaani kabisa

niliwaambia watu kuna mgongano wa kimaslahi na uzembe wakaniona mi mzushi
 
Ninachojua huu uzi hajaandika Kikwete wala Sunday Manara.
 
Uzi uko njiani kutoka usiku wa kuamkia tarehe 6 tuwaumize vizuri na uto day yenu
 
Utopolo kazi kujitungia story ili mradi kuichafua Simba. Habari za utopolo utaandika lini? Huna jema kuhusu Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…