Chukua Hii: Ishu ya Jezi za Simba Kuchelewa

Yaani hiyo team inatumbukia shimoni ni vichekesho...
 
Mi ninachoona ceo wa simba yuko very straight kitu ambacho wabongo wengi kinatushinda. Ndio maana hta mkinga ameona anasumbuliwa baada ya kupeleka sampo mbili tu!.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Yeah .. Uneongea vema sana Wabongo wengi sana ukiwa straight na hutaki janja janja na unataka kazi yenye kiwango kizuri, basi ailimia 99.9 watakuchukia sana. Na ndio maana hatuna quality latika kazi zetu nyingi. Coz mtu anaamua apitishe tu asichukiwe na umma.
 
Hivi nyinyi mnaolipwa 1300 Kwa jezi mnao ubavu wa kuongelea solo la jezi, gsm kawajaza ujinga halafu mnataka kuuleta kwetu
 
Kumbe jezi watu walianza kuvaa tangu wakiwa ismaili misri
UTOH kweli morison hakukosea kusema hamjasoma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…