Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Si mseme tu kuwa bado zoezi la kubandua nembo ya sportpesa halijakamilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twitter huko.Umetoa wapi hii habari?
Yeah .. Uneongea vema sana Wabongo wengi sana ukiwa straight na hutaki janja janja na unataka kazi yenye kiwango kizuri, basi ailimia 99.9 watakuchukia sana. Na ndio maana hatuna quality latika kazi zetu nyingi. Coz mtu anaamua apitishe tu asichukiwe na umma.Mi ninachoona ceo wa simba yuko very straight kitu ambacho wabongo wengi kinatushinda. Ndio maana hta mkinga ameona anasumbuliwa baada ya kupeleka sampo mbili tu!.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hivi nyinyi mnaolipwa 1300 Kwa jezi mnao ubavu wa kuongelea solo la jezi, gsm kawajaza ujinga halafu mnataka kuuleta kwetuTaarifa ya uhakika ni kwamba Jezi zimeshafika na tayari watu wa Customs washaruhusu mzigo baada ya malipo muhimu.
Mzigo haujatoka Ulaya, Mzigo hauna tofauti sana na jezi wanazovaa sasa hivi. Kwa wataalam wa fasheni wameenda mbali na kudai soko la jezi za msimu uliopita litakuwa kubwa sana.