Chukua Hii: Ishu ya Jezi za Simba Kuchelewa

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kwa kilichotokea last season katika uzinduzi wa Jersy, Simba hawakutaka kirudie tena. Wakaamua kukaa na Mkinga maapema zaidi ili kujua muundo mpya wa msimu ujao utakuwaje.

Mkinga akaona isiwe shida ngoja akae chini na vijana wake atengeneze design, akamaliza akampelekea Madam. Kwa bahati mbaya SIIO ndio msemaji wa mwisho. Akakataa design ya mkinga. Mkinga akarudi tena kwa vijana wake wakatengeneza design mpya yenye simulizi katika jezi. Nayo ikaletwa kwa mada akaipiga chini.

Mkinga akaona huu sasa ni ufala. Hakutaka mambo za kusumbuana. Akaona ngoja akaushe kidogo. Baada ya mwezi kupita Siio akampigia simu mkinga. "Oi mbona sijaona kazi yako na umekaa kimya?" Mkinga akamjibu kuwa inampasa awe mvumilivu kwakuwa anataka kitu poa.

Siio akaona muda unaenda na aletewi anachokitaka. Na kwa namna apendi dharau akaona isiwe tabu ngoja atafute altenaltive way. Akamvutia waya Law Ngowi. Akaomba appointment naye. Wakakutana siku ya pili baadaye na mazungumzo yalikuwa ni kumuomba Bw Law Ngowi ashike nafasi ya ubunifu pekee then kwenye uzalishaji amuachie kazi Mkinga. Bw Law akakataa kwa kisingizio kuwa hawezi ingilia majukumu ya kimkataba ya pande nyingine.

Madam baada ya kuchomolewa akarudi kwa bosi. Boss akavuta simu kwa Mkinga. Mkinga akajitetea kuwa kazi amekwisha fanya ila anapewa maelekezo yasiyo ya msingi.

Boss akarudi kwa Siio na maelekezo kuwa aipitishe design ya mwisho ya mkinga. Maadam akakubali kwa shingo upande. Kwa hasira zake akaamua kuchukua jukumu la kizalisha jersy yeye mwenyewe. Na walaa asimshirikishe mkinga. Muda huo mkinga amekaa kimya tu.

Kwa jeuri Siio akaatafuta mzabuni wake huko Ulaya ili aprint uzi. Mzabuni akakubari ila akamwambia kuwa it will take some time. Mkinga akaapigiwa simu na mtu wake kutokaa china "Oya mbona hutumi sammple tufanye production za jersy za msimu huu?". Mkinga akamjibu kuwa dili la msimu huu limeenda ulaya.

Mpaka tarehe 1 mzalishaji jersy wa ulaya alikuwa bado hajakamilisha zoezi.

Kuna uwezekano simba day ikafanyikaa kwa jezi za muundo wa zamani wenye nembo ya MBET?

Nitawapa updates kadiri zikatavyo nifikia.
 
Acha kupotosha kwa mafikirio yako

Maana ya mkataba ni nini? Terms of contract kati ya vunja bei na SSC zinasomaje?

Maswala ya mikataba siyo ya kukurupuka kama unavyoaminisha umma
 
Jersey yenyewe ndo hizi zilizovuja!?
Mbaya tu, hazina ubunifu wowote
 
Maswala ya mkataba ambao hela imehusika hayanaga upumbavu na taarabu unazoleta hapa, shida ni kwamba mambo ya Simba sc kwasasa ni confidential mno kiasi ambacho hamkutarajia.

Sasahivi kila outsider hajui lolote kuhusu jezi wala mpnago wake ndiomaana kila mtu anajaribu ku-formulate assumptions za kibyutibyuti.
 
Hakuna cha confidentiality, huwezi ukarisk kwenda simba day na jezi za zamani kisa usiri. Msemaji wenu amekiri kuna shida na wanapambana jezi zitoke kabla ya simba day.
 
Acha kupotosha kwa mafikirio yako

Maana ya mkataba ni nini? Terms of contract kati ya vunja bei na SSC zinasomaje?

Maswala ya mikataba siyo ya kukurupuka kama unavyoaminisha umma
Hili swali inapasa limfikie CEO. Sio mimi.
 
Mi ninachoona ceo wa simba yuko very straight kitu ambacho wabongo wengi kinatushinda. Ndio maana hta mkinga ameona anasumbuliwa baada ya kupeleka sampo mbili tu!.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sijabisha hilo.

Nimewasilisha hoja tu ya kile kinaachoendelea klabuni Simba.
 
Ila leo ahmed ally kakiri kuna changamoto iliyo nje ya uwezo wao ila watafanya juu chini jezi zitoke kabla ya simba day.
Yes.

Anaifahamu situation jinsi ilivyo. Jambo lipo nje ya uwezo wao.

Sherehe za Simba Day ziko mikononi mwa kit producer huko Ulaya
 
Back
Top Bottom