THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari!
Nimeleta huu uzi kwa maana vilio vimekua ni vingi mara usimuamini Mwanamke, mara Wanaume wote Malaya.
Sa sikieni one day kuna mshikaji wangu nilimuuliza mbona una demu mmoja unajiamini Nini.
Jamaa anilipa jibu Moja ambalo Hadi Leo lilinijenga aliniambia sikia mwanangu Gizoo.
Mi nishasema siwez endekeza Mademu wengi nitapata magonjwa bureee na kupoteza hela zangu.
Akaongeza Mi nikua na demu mmoja akiniiacha fresh naenda kwingine Nako napenda Kwa Moyo wangu wote Bila kubakisha kitu.
Nikiachwa Nako fresh mwendo ni uleule.
For sure baada ya yale maelezo mi nilijiona fala kweli nikajiuliza hivi Kuna Raha gani ya kuwa na Mademu wengii?
Kwani ukiwa na mmoja ikatokea siku akakuacha si unatafta mwingne Kwani utakua umezuiliwa?
From there I changed.
#🇵🇹