Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Kulingana na Ripoti kutoka @FortuneMag imeeleza kuwa billionea namba moja duniani Elon Musk anakabiliwa na kesi ya Dola Bilioni 258 kwa madai ya kuwa sehemu ya mpango wa piramidi ya cryptocurrency ya LEGO, Ambapo yeye pamoja na kampuni zake za Space X na Tesla, wanashtakiwa na Keith Johnson kutokana na madai ya udanganyifu.
Johnson amesema anataka kuwakilisha wale wote ambao wamepoteza biashara ya pesa katika LEGO tangu Aprili 2019. Na ili kesi ivunjike basi amepewe fidia ya dola bilioni 86, pamoja na uharibifu wa mara tatu wa dola bilioni 172.