Chukua MIC na utume Salamu

Sijui ni msalimie Nani hata. Watu8

Shukrani mkuu, salamu zikufikie nawe pia popote pale ulipo juu ya uso wa nchi...

Umenikumbusha kipindi cha zamani sana RTD kikiitwa "Wakati wa Kazi", enzi hizo watu wakitumiana salamu, ni mida mtaani unaanza kupata harufu za misosi ikipikwa kuelekea mchana...
 
Ukitoa wimbo mmoja tu, kina zuchu na nandy wakatafute ajira, maana hawatakuwa na soko tena πŸ˜…
Tena wahame mkoa kabisa waniachie hiyo indastri mwenyewe niitendee kazi🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Nakupenda pia To yeye! Hunaga baya na mtu.
 
Kama mwasisi wa uzi huu napenda kutuma salamu kwa Maxence Melo Active huyu bwana kujisikia sikia Mhariri na mwenzie Moderator
Kuna hawa hapa Bridger Paw Na staff wengine wote msisite kutuma salamu pia mtupe option ya kupinga mageuzi ya heading huyu alie andika heading tena nahic kaishia la 7 kabisa naombaniwe Chukua MIC tuma salamu

Mnizooeee mimi ni kijana msema kweli kazi njema ya kufuta thread na kupike PM zetu
 
Mamaaaae umeua 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…