Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Uje na ugoro wa Babu 😅😅Muhimu asiombe hela ya sigara 😀 😀 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uje na ugoro wa Babu 😅😅Muhimu asiombe hela ya sigara 😀 😀 😀
Sauti ya kuimbia unayo? 😅
🤣🤣🤣🤣We weka chenjichenji karibu,usiniabishe nimewaambia wewe ni DonMuhimu asiombe hela ya sigara 😀 😀 😀
Itapatikana huko huko studio, we nipe nafasi tu nionyeshe kipaji changuSauti ya kuimbia unayo? 😅
Sijui ni msalimie Nani hata. Watu8
Nitawapigisha saundi ile mbaya 😀 😀🤣🤣🤣🤣We weka chenjichenji karibu,usiniabishe nimewaambia wewe ni Don
Ukitoa wimbo mmoja tu, kina zuchu na nandy wakatafute ajira, maana hawatakuwa na soko tena 😅Itapatikana huko huko studio, we nipe nafasi tu nionyeshe kipaji changu
Sipendi mabahili mimi.nitaahirisha utambulisho 😃Nitawapigisha saundi ile mbaya 😀 😀
Tena wahame mkoa kabisa waniachie hiyo indastri mwenyewe niitendee kazi🤣Ukitoa wimbo mmoja tu, kina zuchu na nandy wakatafute ajira, maana hawatakuwa na soko tena 😅
Nimezipokea mkuu,ubarikiwe sana🙏
😂😂Nisiwachoshe msinichoshe Salamu zingine ningependa zimfikie UMUGHAKA na Ally mpemba na Jinn Farah sijui Farhat na bodaboda wote wa Bunju 😁 salamu zingine zimfike SteveMollel bado kalala ana block watu 😁vp au Amiri kafanya yake 😂 salamu zingine zimuendee pettymagambo Mafisango Chama nasema lolote limkute na Yunge wake hawezi kutuacha na arosto 😂
Natuma salamu kwa
National Anthem
Half american
Countrywide
Tayukwa
Elli
Analyse
Bujibuji Simba Nyamaume
Mshana Jr
Waterbender
proton pump
Mzee wa kupambania
mzabzab
raraa reree
kajamaa kadogo
Na wanaume wote niliowasahau
Wadada nawasalimu:
Ms eyes
Lovelovie
Lovie Lady
Amehlo
Kapeace
Dahan
Aaliyyah
Antonnia
mama D
Unique Flower
dadapesa
Numbisa
Hannah
Demi
Kelsea
Bantu Lady
Shunie
Myangu
Na wengine niliowasahau
NAWAUSIA PENDANENI NYINYI KWA NYINYI[emoji173] Nawapenda sana ndugu zangu wanajf
Nashida my wangu nikuelezee I hope utanisaidiaNimekutag kitambo mbona
Mamaaaae umeua 🤣🤣🤣🤣Lenie chukua hela hapo mezani, Kisha muite mpwa wangu Leejay49 , mwambie aende kwenye duka la mangi Gily anunue mahitaji ya leo. Patakuwa na ugeni mkubwa sana, maana Joannah kasema anamleta rasmi Equation x aje tumtambue, kwa maelezo niliyopata, huyu mkwe wetu ni mchanganyiko wa mbegu ya kiafrika na ulaya, kiufupi ni Half american , amesoma, anaelimu nzuri ya biashara, vijana wa mjini wanasema ni Intelligent businessman , sio maneno yangu hayo ni To yeye mwenyewe ndio kasema.
Hakikisha taarifa zinafika kwa majirani zetu Lovie Lady na Nourhan ili waje kusaidia kupika, maana Lovelovie peke yake hatoweza. Ila usialike watu wengi, Watu8 wanatosha. Mwambie Mzee wa kupambania ahakikishe tunapata matent, maana mvua inaweza kunyesha.
Pia kama una namba ya Depal plz mpigie, nasikia ni mpambaji mzuri sana. Ila usisahau kumkubusha Dejane aje in time, aje na dada yake Nuzulati , kuhusu Antonnia Sina shaka, maana yeye ndio mc.
Amehlo na Shunie nimesikia watakuja na upande wa mume. Dahan ni camerawoman leo, mwambie apige picha nzuri, na kuhusu malipo yake, asijali because I am The Boss
Kwan mi si dada ako ata hivyo😀 naogop hata kutongoza maana you are a savage and cannibal