Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nimepokea kutumiwa salamu kwa micNgalikihinja π π salamu kwakoππ
Naomba tuongozane kuungama kesho mapema ππππAki nimeshtuka hilo jina la uzi, tunahitaji wokovu nduguπ
Tuko wengi sema wengine wamejikausha tu
Tena twende parokiani kabisa sio kigangoniπNaomba tuongozane kuungama kesho mapema ππππ
Ndio aje anitumieView attachment 2624401
Haya hapa malalamiko yako ya kutotumiwa. HOW yako majibu yake yapo hapa
Yote haya kayasababisha mtoa uzi
Jimboniππtukutane St.Joseph mapema kabisaTena twende parokiani kabisa sio kigangoniπ
Hamuendi mbinguniTuko wengi sema wengine wamejikausha tu
NakaziaTuko wengi sema wengine wamejikausha tu
Mbinguni me naenda na nina seat yangu special VVIPHamuendi mbinguni
Usikute wewe na Lenie mnaongozana kwenda kuunga kwa NagongeleaNaomba tuongozane kuungama kesho mapema ππππ
Salamu nazipokea kwa mikono yoteπNatuma Salam kwa Gily mwarabu mwenye macho mazuri π natuma Salam pia kwa Baba wao ni wao popote alipo zamu ya hospital au nyumbani, salamu zingine zimfikie mkali wao wa kuandika JBourne59 Baba Hamida π zingine ziende kwa mpenda mashangazi Analyse salamu za mwisho kwa mwanangu mwenyewe leadermoe rest well man tutaonana baadae.
Tuanze na misa ya saa 12 asubuhiJimboniππtukutane St.Joseph mapema kabisa
ππππhaaa bamdogoUsikute wewe na Lenie mnaongozana kwenda kuunga kwa Nagongelea