Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nimepokea kutumiwa salamu kwa micNgalikihinja 😅😅 salamu kwako😊👋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepokea kutumiwa salamu kwa micNgalikihinja 😅😅 salamu kwako😊👋
Naomba tuongozane kuungama kesho mapema 😀😀😀😀Aki nimeshtuka hilo jina la uzi, tunahitaji wokovu ndugu😂
Tuko wengi sema wengine wamejikausha tu
Tena twende parokiani kabisa sio kigangoni😅Naomba tuongozane kuungama kesho mapema 😀😀😀😀
Ndio aje anitumieView attachment 2624401
Haya hapa malalamiko yako ya kutotumiwa. HOW yako majibu yake yapo hapa
Yote haya kayasababisha mtoa uzi
Jimboni😀😀tukutane St.Joseph mapema kabisaTena twende parokiani kabisa sio kigangoni😅
Hamuendi mbinguniTuko wengi sema wengine wamejikausha tu
NakaziaTuko wengi sema wengine wamejikausha tu
Mbinguni me naenda na nina seat yangu special VVIPHamuendi mbinguni
Usikute wewe na Lenie mnaongozana kwenda kuunga kwa NagongeleaNaomba tuongozane kuungama kesho mapema 😀😀😀😀
Salamu nazipokea kwa mikono yote😀Natuma Salam kwa Gily mwarabu mwenye macho mazuri 😁 natuma Salam pia kwa Baba wao ni wao popote alipo zamu ya hospital au nyumbani, salamu zingine zimfikie mkali wao wa kuandika JBourne59 Baba Hamida 😁 zingine ziende kwa mpenda mashangazi Analyse salamu za mwisho kwa mwanangu mwenyewe leadermoe rest well man tutaonana baadae.
Tuanze na misa ya saa 12 asubuhiJimboni😀😀tukutane St.Joseph mapema kabisa
😀😀😀😀haaa bamdogoUsikute wewe na Lenie mnaongozana kwenda kuunga kwa Nagongelea