Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Sema nyie mkirudi tu, mtakutana tena na uzi mwingine utakaowapa mawazo mengine..!! Mtakuwa na kazi ya ruti ya Tanzania, Vatican, Tanzania Vatican, mkirudi tu tena, Tanzania Vatican...!!!Au Vatican kabisa, yaani tusafishwe vema tukirudi huko full mabaraka tunakua good girls 🥰
😂😂😂hiyo mic jamen....wanatutakia kesi tu😴
Mweh Mweh mweeeeeeeeeeeeeeeH..!!! Imbombo ngafuawapi, kwa Mic gani 😏😅
Naweza kukujua usipojali...Nipogo poa sema ni ngumu kunijua siunajua humu tupo kama digidigi
Kesi gani tena?? AU mtanyangányana mic moja??😂😂😂hiyo mic jamen....wanatutakia kesi tu😴
wanangu wa bugarika mkuyini nyakatoKuna viumbe vinatujua kuliko tunavyojijua hahha if u have no friend here, chukua muda kutengeneza mmoja, Nakama wewe ni Me usitengeneze urafiki na Ke kwani mda wote wanahic kuwa unataka kutongozana au mapenzi penzi
NAKAMATA MIC NATUMA SALAMU KWA
Gily soon na story nashuka nalo stay tuned
Wengine tutameet huko mbele
Chukua MiC tuma salaamu
😂😂😂Haya ungana na wenzako mje kutubu
Tutaenjoy trip za ✈️ lakiniSema nyie mkirudi tu, mtakutana tena na uzi mwingine utakaowapa mawazo mengine..!! Mtakuwa na kazi ya ruti ya Tanzania, Vatican, Tanzania Vatican, mkirudi tu tena, Tanzania Vatican...!!!
Kwamba waje kutubu kwa muanzisha uzi WA MIC..!! Dah..!! Wallah tutafika motoni hoiii..!!! Haya mamdogo Amehlo, Lenie na dada To yeye muungamishaji yupo tayari, nendeni. Sema kwa ninavyomjua muungamishaji, andaeni jibu la swali la mmetumia mic ngapi na za aina gani kutuma salamu mpaka sasa. Na mmetuma salamu kwa wangapi..!! Kama MIC zinajaa kwenye SAULI semeni tu..!!Haya ungana na wenzako mje kutubu
Usikute na humo ndegeni mkatuma tena salamu wakati mnaenda na mkiwa njiani kurudi..!! Hatari sanaTutaenjoy trip za ✈️ lakini
😂😂😂 Na style walizokaa kipindi salamu zinatumwaKwamba waje kutubu kwa muanzisha uzi WA MIC..!! Dah..!! Wallah tutafika motoni hoiii..!!! Haya mamdogo Amehlo, Lenie na dada To yeye muungamishaji yupo tayari, nendeni. Sema kwa ninavyomjua muungamishaji, andaeni jibu la swali la mmetumia mic ngapi na za aina gani kutuma salamu mpaka sasa. Na mmetuma salamu kwa wangapi..!! Kama MIC zinajaa kwenye SAULI smeni tu..!!
Looh jaman unatuonea🤣😂Usikute na humo ndegeni mkatuma tena salamu wakati mnaenda na mkiwa njiani kurudi..!! Hatari sana
Ukute na viungo visivyohusika kwenye kutuma salamu, vimesuswa nyuma hukooo..!! Ingewezekana wangevinyofoa kabisa viwekwe kwenye friza..!! Sema shida umeme wetu huu, kama unakatika hadi bungeni, kwenye friza zetu ndo hatari mwisho viungo vioze bure..!!😂😂😂 Na style walizokaa kipindi salamu zinatumwa
Sa si ni kuinjoi..!!!Looh jaman unatuonea🤣😂