Chukua MIC na utume Salamu

Chukua MIC na utume Salamu

Au Vatican kabisa, yaani tusafishwe vema tukirudi huko full mabaraka tunakua good girls 🥰
Sema nyie mkirudi tu, mtakutana tena na uzi mwingine utakaowapa mawazo mengine..!! Mtakuwa na kazi ya ruti ya Tanzania, Vatican, Tanzania Vatican, mkirudi tu tena, Tanzania Vatican...!!!
 
Kuna viumbe vinatujua kuliko tunavyojijua hahha if u have no friend here, chukua muda kutengeneza mmoja, Nakama wewe ni Me usitengeneze urafiki na Ke kwani mda wote wanahic kuwa unataka kutongozana au mapenzi penzi

NAKAMATA MIC NATUMA SALAMU KWA
Gily soon na story nashuka nalo stay tuned
Wengine tutameet huko mbele

Chukua MiC tuma salaamu
wanangu wa bugarika mkuyini nyakato
 
Haya ungana na wenzako mje kutubu
Kwamba waje kutubu kwa muanzisha uzi WA MIC..!! Dah..!! Wallah tutafika motoni hoiii..!!! Haya mamdogo Amehlo, Lenie na dada To yeye muungamishaji yupo tayari, nendeni. Sema kwa ninavyomjua muungamishaji, andaeni jibu la swali la mmetumia mic ngapi na za aina gani kutuma salamu mpaka sasa. Na mmetuma salamu kwa wangapi..!! Kama MIC zinajaa kwenye SAULI semeni tu..!!
 
Kwamba waje kutubu kwa muanzisha uzi WA MIC..!! Dah..!! Wallah tutafika motoni hoiii..!!! Haya mamdogo Amehlo, Lenie na dada To yeye muungamishaji yupo tayari, nendeni. Sema kwa ninavyomjua muungamishaji, andaeni jibu la swali la mmetumia mic ngapi na za aina gani kutuma salamu mpaka sasa. Na mmetuma salamu kwa wangapi..!! Kama MIC zinajaa kwenye SAULI smeni tu..!!
😂😂😂 Na style walizokaa kipindi salamu zinatumwa
 
😂😂😂 Na style walizokaa kipindi salamu zinatumwa
Ukute na viungo visivyohusika kwenye kutuma salamu, vimesuswa nyuma hukooo..!! Ingewezekana wangevinyofoa kabisa viwekwe kwenye friza..!! Sema shida umeme wetu huu, kama unakatika hadi bungeni, kwenye friza zetu ndo hatari mwisho viungo vioze bure..!!
 
Back
Top Bottom