Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kusingizia wengine hujaanza wewe..!! Yaani tumerithi..!! Adam alisema Eva ndo sababu ya kula tunda, na Eva naye alisema nyoka ndo tatizo..!! ๐ ๐ ๐ ๐Yote haya kayasababisha mtoa uzi