Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo.
Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu.
Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika kuhusu multicooker nikaamua nifanye investigation ya nguvu.
Multicooker ya kenwood ni feki asilimia mia na watu kuumwa kansa wanajitakia kwa maana wanacho angalia ni ubei chee badala ya ubora.
Ukienda Dubai Kenwood pressure cooker ni laki 250k hata sauzi ni bei hizo hizo hii bei ya elfu 95 hadi elfu 80 zimmetoka wapi😅.
Pia Dessini ya Muitaliano moja ya product inayotembea sana kuna multicooker/pressure cooker fake maana ukiingia kwenye website yake ukiandika product id namba ya pressure cooker inatokea original product yenyewe ambayo ni pasi kama ukiona hapo chini utaona.wanauza vitu kampuni hazijatengeneza.
Mfano Pasi: namba ds 889 form official website
Na bongo sasa:
Kumaanisha hivyo wanaotuuzia hawatumii hizo bidhaa wanajua ni feki wanafanya biashara kwa ajili ya faida kuliko.
Utu watu wanaumwa makansa kutokana na non stick pots feki na magonjwa mengine ya ovyo.
Lastly tusipende bei chee pressure cooker au multi cooker ya bei nafuu ni 180000 west point kwenda juu hizi nyingine tusipende vya bure.
Chao napeperuka