Chukua tahadhari, kuna Multicooker na Pressure Cooker feki nchini

Asilimia 90% ya electronic products zinazouzwa bongo ni FEKI, kuita high copy, clone, quality copy ni kuipamba tu ila kiufupi ni feki tu. Tena hawa wanaojitangaza mitandaoni Instagram ndio wanauza mafeki toka china na dubai, wanasema wametoa chimbo, huko ni kiwanda cha vitu feki toka china.

Kwenye vipodozi ndio hatari zaidi ya 99% ni feki.

Sitaki kuharibu biashara ya mtu.
 
😅😅😅Bora muhindi
 
Nilich
Naam,kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo.
Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu.

Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika kuhusu multicooker nikaamua nifanye investigation ya nguvu.

Multicooker ya kenwood ni feki asilimia mia na watu kuumwa kansa wanajitakia kwa maana wanacho angalia ni ubei chee badala ya ubora
Ukienda dubai kenwood pressure cooker ni laki 250k hata sauzi ni bei hizo hizo hii bei ya elfu 95 hadi elfu 80 zimmetoka wapi😅.
Pia Dessini ya muitaliano moja ya product inayotembea sana kuna multicooker/pressure cooker fake maana ukiingia kwenye website yake ukiandika product id namba ya pressure cooker inatokea original product yenyewe ambayo ni pasi kama ukiona hapo chini utaona.wanauza vitu kampuni hazijatengeneza
Mfano Pasi: namba ds 889 form official websiteView attachment 3057995

Na bongo sasa:
View attachment 3057996

Kumaanisha hivyo wanaotuuzia hawatumii hizo bidhaa wanajua ni feki wanafanya biashara kwa ajili ya faida kuliko.utu
Watu wanaumwa makansa kutokana na non stick pots feki na magonjwa mengine ya ovyo.
Lastly tusipende bei chee pressure cooker au multi cooker ya bei nafuu ni 180000 west point kwenda juu hizi nyingine tusipende vya bure.
Chao napeperuka
Nilichoona uzi wako umeandika ili kudhoofisha biashara ya mwenzako.
 
Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo.

Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu.

Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika kuhusu multicooker nikaamua nifanye investigation ya nguvu.

Multicooker ya kenwood ni feki asilimia mia na watu kuumwa kansa wanajitakia kwa maana wanacho angalia ni ubei chee badala ya ubora.

Ukienda Dubai Kenwood pressure cooker ni laki 250k hata sauzi ni bei hizo hizo hii bei ya elfu 95 hadi elfu 80 zimmetoka wapi😅.

Pia Dessini ya Muitaliano moja ya product inayotembea sana kuna multicooker/pressure cooker fake maana ukiingia kwenye website yake ukiandika product id namba ya pressure cooker inatokea original product yenyewe ambayo ni pasi kama ukiona hapo chini utaona.wanauza vitu kampuni hazijatengeneza.

Mfano Pasi: namba ds 889 form official websiteView attachment 3057995

Na bongo sasa:
View attachment 3057996

Kumaanisha hivyo wanaotuuzia hawatumii hizo bidhaa wanajua ni feki wanafanya biashara kwa ajili ya faida kuliko.

Utu watu wanaumwa makansa kutokana na non stick pots feki na magonjwa mengine ya ovyo.

Lastly tusipende bei chee pressure cooker au multi cooker ya bei nafuu ni 180000 west point kwenda juu hizi nyingine tusipende vya bure.

Chao napeperuka
Taratibu basi unanichanganya umesema ni feki tena kansa unajua source of cancer kiongozi au maana ishu ya cancer inaanzia kwenye body cell formation uko , au ingestion ya carcinogenic ingredients. Vijana wa pathology waje kutusaidia Ili tusivulugike vichwa
 
Tunaagiza multi cooker 35 heavy duty blender 15 mzigo baada ya siku 45-50
Lazima mtu uogope
 
Taratibu basi unanichanganya umesema ni feki tena kansa unajua source of cancer kiongozi au maana ishu ya cancer inaanzia kwenye body cell formation uko , au ingestion ya carcinogenic ingredients. Vijana wa pathology waje kutusaidia Ili tusivulugike vichwa
Kuna quality non stick na fake non stick pots hizi za china ni fake non stick pots hz zinazokuja ni fake one wanatumia un authorized chemicals zilizozuiwa na pdfa ya huko marekani zina zojulikana ni harmful for human. So the heating the pot to a high temperature zitafanya zile chemical zilireact na kuwemo kwenye chakula bila kujua
 
Asante Kwa kutujuza haya
 
Back
Top Bottom