Chukua tahadhari, kuna Multicooker na Pressure Cooker feki nchini

Selemani Sele

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
319
Reaction score
711
Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo.

Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu.

Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika kuhusu multicooker nikaamua nifanye investigation ya nguvu.

Multicooker ya kenwood ni feki asilimia mia na watu kuumwa kansa wanajitakia kwa maana wanacho angalia ni ubei chee badala ya ubora.

Ukienda Dubai Kenwood pressure cooker ni laki 250k hata sauzi ni bei hizo hizo hii bei ya elfu 95 hadi elfu 80 zimmetoka wapi😅.

Pia Dessini ya Muitaliano moja ya product inayotembea sana kuna multicooker/pressure cooker fake maana ukiingia kwenye website yake ukiandika product id namba ya pressure cooker inatokea original product yenyewe ambayo ni pasi kama ukiona hapo chini utaona.wanauza vitu kampuni hazijatengeneza.

Mfano Pasi: namba ds 889 form official website

Na bongo sasa:


Kumaanisha hivyo wanaotuuzia hawatumii hizo bidhaa wanajua ni feki wanafanya biashara kwa ajili ya faida kuliko.

Utu watu wanaumwa makansa kutokana na non stick pots feki na magonjwa mengine ya ovyo.

Lastly tusipende bei chee pressure cooker au multi cooker ya bei nafuu ni 180000 west point kwenda juu hizi nyingine tusipende vya bure.

Chao napeperuka
 
Umeniokoa,nilishawema oda!
 
Ushahidi uko wapi kwamba hizi ni feki? Unafanya kaz TBS?

Au una taarifa ili mamlaka husika wachukue taarifa
Ushahidi upo ila utakuwa hauna mashiko sana maana watasingizia tumechukua kiwandani kwa maana non stick nzuri haichubuki ovyo ila kwa malalamiko ya watu mipiko.miwili tu mambo tayari
 
Niliwai sikia kuwa kwenye ayo mavitu kuna kuwa na upungufu wa baadhi ya madini ivyo kupelekea watu kupata kansa sasa sina uhakika kuhusu ilo labda watasha wa mambo waje watupe elimu kidogo juu ya jambo ili
 
Ni kweli kuna vitu vingi feki vinaingia kwenye mitumba ila vinaonekana vipya na bei yake ya kutupa.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Niliwai sikia kuwa kwenye ayo mavitu kuna kuwa na upungufu wa baadhi ya madini ivyo kupelekea watu kupata kansa sasa sina uhakika kuhusu ilo labda watasha wa mambo waje watupe elimu kidogo juu ya jambo ili
Pitia upate elimu ya non stick pots and pans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…