Chukua tahadhari, kuna Multicooker na Pressure Cooker feki nchini

Asilimia 90% ya electronic products zinazouzwa bongo ni FEKI, kuita high copy, clone, quality copy ni kuipamba tu ila kiufupi ni feki tu. Tena hawa wanaojitangaza mitandaoni Instagram ndio wanauza mafeki toka china na dubai, wanasema wametoa chimbo, huko ni kiwanda cha vitu feki toka china.


Kwenye vipodozi ndio hatari zaidi ya 99% ni feki.


Sitaki kuharibu biashara ya mtu.
 
😅😅😅Bora muhindi
 
Nilich
Nilichoona uzi wako umeandika ili kudhoofisha biashara ya mwenzako.
 
Taratibu basi unanichanganya umesema ni feki tena kansa unajua source of cancer kiongozi au maana ishu ya cancer inaanzia kwenye body cell formation uko , au ingestion ya carcinogenic ingredients. Vijana wa pathology waje kutusaidia Ili tusivulugike vichwa
 
Tunaagiza multi cooker 35 heavy duty blender 15 mzigo baada ya siku 45-50
Lazima mtu uogope
 
Kuna quality non stick na fake non stick pots hizi za china ni fake non stick pots hz zinazokuja ni fake one wanatumia un authorized chemicals zilizozuiwa na pdfa ya huko marekani zina zojulikana ni harmful for human. So the heating the pot to a high temperature zitafanya zile chemical zilireact na kuwemo kwenye chakula bila kujua
 
Asante Kwa kutujuza haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…