Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO.
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO
Unapojiingiza katika mahusiano na mwanamke ambae ana msongo wa mawazo unakuwa umeanza kujiingiza kwenye shida, mwanamke aliyepo kwenye matatizo hana uamuzi sahihi kuhusu uhusiano, mara nyingi anaingia kwenye mahusiano na mtu kwa hasira au akiwa anatafuta faraja
2. MWANAMKE ALIYE KATIKA MCHAKATO WA UTAFUTAJI
Mara nyingi hawa ni wale ambao wametoka vyuoni au vijijini wameingia mjini, aina hii ya wanawake wanakuwa na matarajio makubwa sana, wanakuwa kama mbuzi, wanaona majani ya mbele ni kijani zaidi kuliko wanayokula, hawa wanawake akishaanza uhusiano na wewe anaanza kujiuliza mbona Juma ana hela sana, anataka tena na Juma.
3. WANAWAKE WALIOKATA TAMAA
Kuna wanawake wamekata tamaa kiasi kwamba haoni tumaini mbele yake, wakati mwingi hufikiria kwamba kuna jambo baya litamtokea, hawa ni wale waliokutana na wanaume wabaya, wakawafinyia mambo mabaya, au jamii yao ina tabia za kunyanyasa wanawake, huna la kufanya na huyu kila utakalofanya anahisi ni la ubaya.
4. MWANAMKE MWENYE AKILI ZA KIMASIKINI/ MVIVU/ MZEMBE/ MJINGA
Kundi hili ni pana zaidi kuna wanawake akili zao ni ndogo kiasi kwamba kuwa na uhusiano nae ni kama umejiingiza kwenye kambi ya jeshi, hawa hawaelewi chochote, hawezi kuconect dot, hajui nini cha kufanya, hajui kutatua changamoto hakawii kusahau, ukiwa na mwanamke wa hivi unakuwa mwalimu tena wa chekechea.
Ndimi