Chukua tahadhari unapoingia katika mahusiano na wanawake hawa

Yaani wewe kisirani sana
 
HiChi ndio ccm nachokiweza,ila sio kuongoza nchi
 
Ongeza wanawake wafupi,huwa wabishi sana
 

Hata pia
5. MWANAMKE MWENYE UFANISI NA MAISHA YENYE FURAHA
Hawa ni aina ya wanawake waliojitosha. Wana karibu kila kitu ambacho kinawapa furaha kwa mtazamo wao. Hawa mara nyingi huingia kwenye mahusiano bila hata kufanya uchunguzi zaidi, kwa maana mtazamo wao unaona mambo bila kuhusisha hatari zinazoweza kutokea.
 
Umesahau mwanamke
-aliechora tattoo
-anaevaa kikuu mguuni
-mlevi
-anaeomba omba hela
-aliepanga geto huku akiwa hana mishe inayoeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…