Chukua tahadhari unapokwenda kununua bati kwenye kiwanda cha wachina TAZARA

Uhepe wapi mtu wangu?! Soma bandiko #26 na #27 . Hii mambo imejadiliwa huko. Jitahidi uwe unasoma uzi wote ndo uchangie sheikh.
Sheikh ni kweli nimefanya udhaifu wa kutosoma mpaka mwisho !niwie radhi muungwana!wengi tumeona post ya jamaa baada ya kuhaririwa.niwie radhi mkuu!
 
Sheikh ni kweli nimefanya udhaifu wa kutosoma mpaka mwisho !niwie radhi muungwana!wengi tumeona post ya jamaa baada ya kuhaririwa.niwie radhi mkuu!

Yote heri mradi umeelewa. Maana sheikh ulikuja kasi ajabu kumbe ulifukia matuta 🙂)

Na mimi nimehariri kuepusha ajali zingine huko mbele. Pamoja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…