Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 314
- Thread starter
- #21
Bati ngapi zilitosha nyumba? Nyumba ya ukubwa gani?
Mkuu jumla bati 90 za size tofauti tofauti. Nyumba ni ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko na dining.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bati ngapi zilitosha nyumba? Nyumba ya ukubwa gani?
Ni jukumu lako kuwa makini kila unapofanya manunuzi ya kitu chochote hasa ukizingatia utapeli na wizi na badhaa feki ndio vinatawala bongo.
kama ni mimi ningechukua bati 2 ningeenda TBS na tume ya faily competition huyu mchina angelipa mpaka misumari.Nafikiri wakati umefika kwa watanzania kulalamika kwa vitendo na sio maneno.Ingekuwa Kenya au Nigeria hicho kiwanda hakika muda huu ni story nyingine kulalamika huku akusaidii kwani ata dakika hii watanzania wengine wanatapeliwa live.Hakika ningekuwa mie mziki wake mchina angejuta.bati kutokutosha si uthibitisho wa kuwa si gaji 28, ref hoja ya kwanza.ungeeleza wepesi wake tu ukoje
Mtoa hoja kakuambia aligoma kununua za jirani baada ya kugundua ni za wizi, kama hukuelewa ungeuliza kwanza. haraka za nini?Kwanini hukununua ALAF?
Hizo bati mlizoiba jirani zilifanana na za kwako? Umelaumu hao wachina ila na wewe ni kule kule tu. Ulinunuaje bati jirani bila kuongea na mwenye nyumba?
Bottom line, mara nyingine, tumia wataalamu wakuwakilishe. Ikitokea mapungufu, unawabana kimkataba. Ujenzi si kila mtu anaweza kusimamia.
Mtoa hoja kakuambia aligoma kununua za jirani baada ya kugundua ni za wizi, kama hukuelewa ungeuliza kwanza. haraka za nini?
Sina lengo la kuwaharibia biashara. Lakini pia sipendi yakukute yaliyonikuta.
Kiufupi tu:
Bei ya bati geji 28 kwa metre moja ni Tshs 8500/=. Kofia Max 3 metres= Tshs 15,000/=.
kilichotokea:
Bati nilizonunua mwanzoni zimekuja nyepesi sana na kwa mujibu wa fundi sio Geji 28. Maana bati hazikutosha na hivyo ikalazimu ziongezwe zingine.
Mbili, upana (width) wa bati zilizokuja mwanzoni zinatofautiana na upana wa bati za mara ya 2.
Tatu, bati zimekuja bila muhuri wa kuthibitisha geji. Hili nimeambiwa na agent mmoja baada ya kumuelezea kilichonitokea. Akaniuliza hizo bati zimepigwa muhuri wa kuthibitisha geji? Nilipokagua sikuona muhuri.
Nne, nilipoomba risiti ya TRA nilipewa ambayo hai reflect bei halisi. Nilipohoji niliambiwa hiyo bei niliyopewa haina VAT na kama nahitahitaji yenye bei halisi basi niongeze pesa Tshs 9000 kwa metre. Kumbuka wakati huo bati zimeshatoka nipo kwenye harakati za kupakia.
Kuhusu Fundi:
Mafundi wanaiba sana bati. Ni muhimu kuwepo site wakati kazi inaendelea. Na kila siku baada ya kazi hesabu idadi ya bati zilizobaki.
Nimeyagundua haya baada ya kupungukiwa na bati, jumba ya jirani ilianza kupauliwa kabla yangu. Wiki moja baadae nami nilianza. Baada ya kuwa nimepungukiwa bati niliambiwa kwa jirani yangu kuna bati zilibaki, hivyo kikaomba namba niongee na jirani kumuomba aniuzie.
Cha ajabu nilipewa namba ya fundi na yeye ndie alikuwa muuzaji. Kufuatilia nikagundua mwenye nyumba hajui lolote na hivyo alikuwa kapigwa kama pc 10 za bati zenye urefu wa metre 5 each. Sikuweza kununua na hivyo kunilazimu kwenda tena kiwandani kununua mara ya pili.
Ndugu pole, je kuna uwezekano wa kununua bati bila kupita kwa wakala maana nimeongea na wakala mmoja kaniambia atanifanyia sh 10500 per m naona kama ananipiga parefu..
sina lengo la kuwaharibia biashara. Lakini pia sipendi yakukute yaliyonikuta.
Kiufupi tu:
Bei ya bati geji 28 kwa metre moja ni tshs 8500/=. Kofia max 3 metres= tshs 15,000/=.
Kilichotokea:
Bati nilizonunua mwanzoni zimekuja nyepesi sana na kwa mujibu wa fundi sio geji 28. Maana bati hazikutosha na hivyo ikalazimu ziongezwe zingine.
Mbili, upana (width) wa bati zilizokuja mwanzoni zinatofautiana na upana wa bati za mara ya 2.
Tatu, bati zimekuja bila muhuri wa kuthibitisha geji. Hili nimeambiwa na agent mmoja baada ya kumuelezea kilichonitokea. Akaniuliza hizo bati zimepigwa muhuri wa kuthibitisha geji? Nilipokagua sikuona muhuri.
Nne, nilipoomba risiti ya tra nilipewa ambayo hai reflect bei halisi. Nilipohoji niliambiwa hiyo bei niliyopewa haina vat na kama nahitahitaji yenye bei halisi basi niongeze pesa tshs 9000 kwa metre. Kumbuka wakati huo bati zimeshatoka nipo kwenye harakati za kupakia.
Kuhusu fundi:
Mafundi wanaiba sana bati. Ni muhimu kuwepo site wakati kazi inaendelea. Na kila siku baada ya kazi hesabu idadi ya bati zilizobaki.
Nimeyagundua haya baada ya kupungukiwa na bati, jumba ya jirani ilianza kupauliwa kabla yangu. Wiki moja baadae nami nilianza. Baada ya kuwa nimepungukiwa bati niliambiwa kwa jirani yangu kuna bati zilibaki, hivyo kikaomba namba niongee na jirani kumuomba aniuzie.
Cha ajabu nilipewa namba ya fundi na yeye ndie alikuwa muuzaji. Kufuatilia nikagundua mwenye nyumba hajui lolote na hivyo alikuwa kapigwa kama pc 10 za bati zenye urefu wa metre 5 each. Sikuweza kununua na hivyo kunilazimu kwenda tena kiwandani kununua mara ya pili.
Nimeeleza bati zilizoleta mara ya kwanza ukifananisha na za mara ya pili kwa wepesi na upana ( width) zinatofautiana. Na fundi mwenyewe kanithibitishia kwamba geji ni tofauti.
Ndugu pole, je kuna uwezekano wa kununua bati bila kupita kwa wakala maana nimeongea na wakala mmoja kaniambia atanifanyia sh 10500 per m naona kama ananipiga parefu..
Sina uhakika mkuu mimi nilitumia cement ya Nyati pamoja na Twiga. Tofali nilinunua hivyo sijui walitumia cement gani lakini zipo imara.hivi cement ya SOL iloandikwa made in China ni imported au ya Mbagala?
japo hawachakachui uzito ni 50 Kg kamili, ukifungua mifuko tofauti cement ina rangi tofauti
kwa kuwasaidia wengine ingebidi kuwaripoti tbs
Fundi Muhapa acha uhepe!jamaa hakununua bati za jirani yake !kusoma wajua ila kuelewa ni shida!Labda we urudie nilichoandika halafu uamue upya aliekurupuka ni nani........
Kwanini hukununua ALAF?
Hizo bati mlizoiba jirani zilifanana na za kwako? Umelaumu hao wachina ila na wewe ni kule kule tu. Ulinunuaje bati jirani bila kuongea na mwenye nyumba?
Bottom line, mara nyingine, tumia wataalamu wakuwakilishe. Ikitokea mapungufu, unawabana kimkataba. Ujenzi si kila mtu anaweza kusimamia.
Hivi umesoma kweli kabla ya kutoa comment?
Ndio mkuu inawezekana, mimi nilinunua bila kupitia kwa wakala. Kuna jamaa mwingine aliniambia kuna kiwanda kingine cha bati maeneo ya TABATA. Nasikia wao ni wageni na bado hawajaanza mambo ya uchakachuaji kama hawa wakongwe. Endapo nitapata details zao nitaweka hapa.