Chukua yanayokufaa

Chukua yanayokufaa

ACHA KUHISI VIBAYA KWA KUWEKA MIPAKA INAYOLINDA AMANI YAKO
20230219_054247.jpg
 
Maneno ya kujifariji tu!

Maisha yanatesa Sana nyie!

Watu wanateseka kama aliyewaumba kawasusa!kuna vitu unajiuliza ULE msoto wote ule matokeo ndio Haya!!?

BINADAMU watapishana Sana KWA waganga wa kienyeji kuumia zaidi kama Aliyewaumba ataendelea kuwanunia kama nionavyo Mimi!

Maandiko,misemo HAIWEZI kuponya mioyo ya watu Zaidi ya kujifariji!

Zaidi ya kumsingizia SHETANI aliyeumbwa na Mungu mwenyewe ILI abebe lawama zake mwenyewe aliyemuumba!!

Tusidanganyane WAKUU!

TUSUBIRI tuje tumuulize kwamba "SISI tulikuwa specimens KWA majaribio yapi!!?
 
Chukua inayokufaa
 
Take it easy - But take it !
 
Back
Top Bottom