Nguvu ya Neno la Mungu
"Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo." Waebrania 4:12
Je! neno langu si kama moto, asema BWANA, na kama nyundo ivunjayo mwamba? Yeremia 23:29
"Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki, ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema." 2 Timotheo 3:16-17
‘Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Mathayo 4:4
“Kwa maana yote yaliyoandikwa zamani yaliandikwa ili kutufundisha sisi, ili kwa saburi na faraja ya maandiko.
tupate kuwa na tumaini.” Warumi 15:4
"Watu wote ni kama majani, na fahari yake yote kama ua la majani. Majani hunyauka na ua huanguka, bali neno la Bwana
inabaki milele."
1 Petro 1:24-25
"Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga wa njia yangu." Zaburi 119:105
Neno langu halitanirudia bure,
lakini itafanikisha hilo
ambayo ninakusudia. Isaya 55:11
Sent using
Jamii Forums mobile app