The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Wakuu Leo nataka niwaiibie hii Lonja kuhusu fursa ya usafirishaji haswa Kwa hili jiji la dar es salaam.
Yaani kiufupi ni hivi, kama unataka kuwekeza kwenye biashara ya uhakika na upige pesa hapa mjini embu Fanya biashara ya usafirishaji, either ujikite kwenye kusafirisha watu au ufanye kazi ya kusafirisha mizigo kutoka eneo moja kwenda lingine, ni wew tu utakavyo amua na Bado utapiga pesa.
Ukitaka kujua kuwa hili, angalia jinsi watu wanavyo pata shida kwenye swala la usafiri iwe asubuhi, mchana , tena jiona ndio balaaa Zaid, Yani demand ni kubwa mno kuliko supply.. watu wanasumbuka sana kwenye kupata usafiri, hii inaonesha soko limezidiwa na wateja, Good example angalia mwendo Kasi..
So unaweza ukawekeza kwenye kwenye bajaji, boda boda, Kuna hizi Toyo za miguu mitatu, ukiwa nazo hizo utabeba sana mizigo, Yani huwezi kulala njaaa..
Changamoto Huwa hazikosekani, kwahyo hapo ni wewe tu.
Leo naomba niishie hapa, next time nitaeleza strategies nzuri za kupiga pesa kutumia bajaji, boda na toyo.
All In all, sekta Bado Ina gap kubwa sana.