Chukueni hii; Wekeza katika sekta ya usafirishaji upige pesa

Wakuu Leo nataka niwaiibie hii Lonja kuhusu fursa ya usafirishaji haswa Kwa hili jiji la dar es salaam.

Yaani kiufupi ni hivi, kama unataka kuwekeza kwenye biashara ya uhakika na upige pesa hapa mjini embu Fanya biashara ya usafirishaji, either ujikite kwenye kusafirisha watu au ufanye kazi ya kusafirisha mizigo kutoka eneo moja kwenda lingine, ni wew tu utakavyo amua na Bado utapiga pesa.

Ukitaka kujua kuwa hili, angalia jinsi watu wanavyo pata shida kwenye swala la usafiri iwe asubuhi, mchana , tena jiona ndio balaaa Zaid, Yani demand ni kubwa mno kuliko supply.. watu wanasumbuka sana kwenye kupata usafiri, hii inaonesha soko limezidiwa na wateja, Good example angalia mwendo Kasi..

So unaweza ukawekeza kwenye kwenye bajaji, boda boda, Kuna hizi Toyo za miguu mitatu, ukiwa nazo hizo utabeba sana mizigo, Yani huwezi kulala njaaa..

Changamoto Huwa hazikosekani, kwahyo hapo ni wewe tu.

Leo naomba niishie hapa, next time nitaeleza strategies nzuri za kupiga pesa kutumia bajaji, boda na toyo.

All In all, sekta Bado Ina gap kubwa sana.
Nakubaliana na wewe kwa 100%
 
Unajua Sana
 
Kusema ukweli hizi ndizo tunazosema biashara ya kwenye makaratasi: hapa nitaongea kwa uzoefu baada ya kumaliza chuo nilipata kazi ya mkatana kama miaka mitatu, kisha nikarudi kitaa nilichokifanya ni kupiga driving mwez moja na kupata leseni. Kisha nikanunua bajaji nikaingia road naomba nikwambie haya
Jambo muhimu kabisa ni kwamba ili pesa yako hata ulionunulia boda au bajaji irudi uwe dereva mwenyewe ukiwapa hawa vijana wanaonyoa viduku umelia, maaan kila wakat bosi chombo imeharibika, bosi nmekamatwa na trafik bosi leo hali ni mbaya yaan ukiona tu simu yake ni presha na hili lipo kwa wenye usafiri wte hata mabasi kama kampuni yako ni changa n presha juu ya presha. Sasa kwa uzoefu wangu nilijifunza haya yafuatayo
  1. Ili uweze kufaidika na hii biashara angalau chombo chako kiwe kipya maana yake wew service yako ni kubadili oil na kupiga miguu griss lakini pamoja na hapo kumbuka bajaji mpya ni milioni 8.5 hadi mil 9, sasa hapo waza mpka uje urudishe hizo ml tisa ni lini
  2. Kama una bajaji used au boda used pesa utakuwa unapata saana lakini ukienda kufanya service utaambiwa mara piston za kwenye master zimeisha, mara chain imeisha mara miguu inapata joto ukitoka hapo nusu ya akiba ulioweka imeisha.
  3. Kumbuka kuna changamoto hazikosekani kama sehem ya biashara kuna siku hauna upepo unaweza kulaza 30k tu kuna TRA 100K Kuna latra kuna MATRAFIK kuna kulipia kijiwe. Kumbuka katika pesa unayopata mfano umelaza 80k lazima utoe 20 ya mafuta kwa bajaj mpya
  4. Nimeendesha bajaji dar kiwango cha kulaza faida huwa ni elf hamsini hadi themanini kama kuna mtu anaendesha bodaboda au bajaji analaza laki ake anikosoe na kumbuka bajaj n nyingi kama utitiri na unaondoka kwa foleni kijiweni
  5. Nikaona dar hapalipi nikaenda morogoro bado changamoto ni zile zile na hapo nilikuwa naendesha mwenyewe. Hivyo kila biashara na changamoto yake.
Kwa mchanganuo huu, hii biashara inalipa mnoo. Ishu ni nidhamu ya fedha na saving. Kama unaweza kulaza 30+ kwa siku, hiyo ni biashara nzuri sana mkuu.
 
Ni sahihi mzee, kuna kipindi mambo yanagoma, ila tukubali vijana wengi hatuna nidhamu ya hela, si kwa hela hizi zinazoingia kwa kila siku ama zile za mkupuo, unaingiza leo laki, unataka utumie kwa fujo ukiamini kesho ipo tena sababu chombo kipo, hatimae chombo kinakuja kuchoka na huna hela ya maana, mtu anapiga kazi wiki nzima lakini wiki ijayo ukimuuliza kama ana akiba ya laki 2 anakwambia hana na pesa hajui kaitumiaje tumiaje.
Umeongea ukweli mtupu makaveli10 mimi mwenyew imewahi nitokea kipind ujana maji ya moto yaan unaingiza laki leo alafu unataka uitumie kwa fujo kwa sababu unajua kesho utaingiza nyingne kumbe mambo huwa yanabadilika.

Vijana tuwe na nidhamu na pesa na tuweke savings za kutosha ili tusije kutia aibu uzeeni!! 😁😁
 
Kusema ukweli hizi ndizo tunazosema biashara ya kwenye makaratasi: hapa nitaongea kwa uzoefu baada ya kumaliza chuo nilipata kazi ya mkatana kama miaka mitatu, kisha nikarudi kitaa nilichokifanya ni kupiga driving mwez moja na kupata leseni. Kisha nikanunua bajaji nikaingia road naomba nikwambie haya
Jambo muhimu kabisa ni kwamba ili pesa yako hata ulionunulia boda au bajaji irudi uwe dereva mwenyewe ukiwapa hawa vijana wanaonyoa viduku umelia, maaan kila wakat bosi chombo imeharibika, bosi nmekamatwa na trafik bosi leo hali ni mbaya yaan ukiona tu simu yake ni presha na hili lipo kwa wenye usafiri wte hata mabasi kama kampuni yako ni changa n presha juu ya presha. Sasa kwa uzoefu wangu nilijifunza haya yafuatayo
  1. Ili uweze kufaidika na hii biashara angalau chombo chako kiwe kipya maana yake wew service yako ni kubadili oil na kupiga miguu griss lakini pamoja na hapo kumbuka bajaji mpya ni milioni 8.5 hadi mil 9, sasa hapo waza mpka uje urudishe hizo ml tisa ni lini
  2. Kama una bajaji used au boda used pesa utakuwa unapata saana lakini ukienda kufanya service utaambiwa mara piston za kwenye master zimeisha, mara chain imeisha mara miguu inapata joto ukitoka hapo nusu ya akiba ulioweka imeisha.
  3. Kumbuka kuna changamoto hazikosekani kama sehem ya biashara kuna siku hauna upepo unaweza kulaza 30k tu kuna TRA 100K Kuna latra kuna MATRAFIK kuna kulipia kijiwe. Kumbuka katika pesa unayopata mfano umelaza 80k lazima utoe 20 ya mafuta kwa bajaj mpya
  4. Nimeendesha bajaji dar kiwango cha kulaza faida huwa ni elf hamsini hadi themanini kama kuna mtu anaendesha bodaboda au bajaji analaza laki ake anikosoe na kumbuka bajaj n nyingi kama utitiri na unaondoka kwa foleni kijiweni
  5. Nikaona dar hapalipi nikaenda morogoro bado changamoto ni zile zile na hapo nilikuwa naendesha mwenyewe. Hivyo kila biashara na changamoto yake.
Moro unapaki wapi mzeya nije uniendeshe kwenda dar na bajaj
 
Kwa mchanganuo huu, hii biashara inalipa mnoo. Ishu ni nidhamu ya fedha na saving. Kama unaweza kulaza 30+ kwa siku, hiyo ni biashara nzuri sana mkuu.
Ili usijitese sana kaza buku ten apo umeshatoa matumizi yako ya kila siku
 
Afisa usafirishaji kwenye moja na mbili wanazingua sana.

Hiyo biashara kama hauifanyi wewe binafsi ni pasua kichwa kila siku utabadili maafisa usafirishaji.
 
Hahah ukiifanya mwenyewe itakulipa. Lakini lazima ukaze ,hakuna mambo mepesi
 
Wakuu Leo nataka niwaiibie hii Lonja kuhusu fursa ya usafirishaji haswa Kwa hili jiji la dar es salaam.

Yaani kiufupi ni hivi, kama unataka kuwekeza kwenye biashara ya uhakika na upige pesa hapa mjini embu Fanya biashara ya usafirishaji, either ujikite kwenye kusafirisha watu au ufanye kazi ya kusafirisha mizigo kutoka eneo moja kwenda lingine, ni wew tu utakavyo amua na Bado utapiga pesa.

Ukitaka kujua kuwa hili, angalia jinsi watu wanavyo pata shida kwenye swala la usafiri iwe asubuhi, mchana , tena jiona ndio balaaa Zaid, Yani demand ni kubwa mno kuliko supply.. watu wanasumbuka sana kwenye kupata usafiri, hii inaonesha soko limezidiwa na wateja, Good example angalia mwendo Kasi..

So unaweza ukawekeza kwenye kwenye bajaji, boda boda, Kuna hizi Toyo za miguu mitatu, ukiwa nazo hizo utabeba sana mizigo, Yani huwezi kulala njaaa..

Changamoto Huwa hazikosekani, kwahyo hapo ni wewe tu.

Leo naomba niishie hapa, next time nitaeleza strategies nzuri za kupiga pesa kutumia bajaji, boda na toyo.

All In all, sekta Bado Ina gap kubwa sana.
Upo vizuri, na watu kama wewe hufanikiwa haraka, kuna watu hawataki kuona unafungua biashara kama yake, atakufanyia figisu, fitina ilimradi tu uharibikiwe, end of the day ukinaike, ndio furaha yake. Watu hawa wapo sana mkuu.
 
Changamoto, lakini kwa bei uliyonunulia na hela ya kulaza vinaendana au tunasma inalipa.. Hata kama umenunua bajaj milioni 10, ukiweza kulaza wastan wa elfu 50 daily, that means kwa mwezi ni milioni 1 na laki 5, mwaka ni milioni 18. Toa milioni 3 kwa sababu ya dharura, kuna siku ulikosa, service na mengineyo, maana yake kwa mwaka unapiga si chini ya milioni 15, ndanj ya mwaka hela yako ya bajaji isharudi na faida juu, na chombo bado imara, vitu vya kichina hivyo vinaenda sawa miaka mi5 na kusonga mbele, hivyo ukipiga miaka 3 hivi. Inakuwa umepiga milioni 45 na ukiamua kuiuza bajaj unauza bei poa.

Kikubwa komaa kwenye saving, jibane kwenye matumizi yako.. Jipe mwaka utaona mabadiliko.
Safi sana ukiwa na bajaji 10, miaka 3 unapiga mil 450!
 
Wakuu Leo nataka niwaiibie hii Lonja kuhusu fursa ya usafirishaji haswa Kwa hili jiji la dar es salaam.

Yaani kiufupi ni hivi, kama unataka kuwekeza kwenye biashara ya uhakika na upige pesa hapa mjini embu Fanya biashara ya usafirishaji, either ujikite kwenye kusafirisha watu au ufanye kazi ya kusafirisha mizigo kutoka eneo moja kwenda lingine, ni wew tu utakavyo amua na Bado utapiga pesa.

Ukitaka kujua kuwa hili, angalia jinsi watu wanavyo pata shida kwenye swala la usafiri iwe asubuhi, mchana , tena jiona ndio balaaa Zaid, Yani demand ni kubwa mno kuliko supply.. watu wanasumbuka sana kwenye kupata usafiri, hii inaonesha soko limezidiwa na wateja, Good example angalia mwendo Kasi..

So unaweza ukawekeza kwenye kwenye bajaji, boda boda, Kuna hizi Toyo za miguu mitatu, ukiwa nazo hizo utabeba sana mizigo, Yani huwezi kulala njaaa..

Changamoto Huwa hazikosekani, kwahyo hapo ni wewe tu.

Leo naomba niishie hapa, next time nitaeleza strategies nzuri za kupiga pesa kutumia bajaji, boda na toyo.

All In all, sekta Bado Ina gap kubwa sana.
Wewe umewekeza kwenye angle ipi katika iyo industry ya usafirishaji? Isije ikawa unatufundisha theory kama motivesheno spikaz
 
Ni sahihi mzee, kuna kipindi mambo yanagoma, ila tukubali vijana wengi hatuna nidhamu ya hela, si kwa hela hizi zinazoingia kwa kila siku ama zile za mkupuo, unaingiza leo laki, unataka utumie kwa fujo ukiamini kesho ipo tena sababu chombo kipo, hatimae chombo kinakuja kuchoka na huna hela ya maana, mtu anapiga kazi wiki nzima lakini wiki ijayo ukimuuliza kama ana akiba ya laki 2 anakwambia hana na pesa hajui kaitumiaje tumiaje.
Ujana maji ya moto. Kuna pesa za kubet kudadadeki. Unampiga mhindi 500K unasema ngoja niingie ktambaa cheupe hapo unaunganisha bata jmosi na jpl bila kurudi home unaamka j3 asubuhi umebakiwa na 50K
 
Wakuu Leo nataka niwaiibie hii Lonja kuhusu fursa ya usafirishaji haswa Kwa hili jiji la dar es salaam.

Yaani kiufupi ni hivi, kama unataka kuwekeza kwenye biashara ya uhakika na upige pesa hapa mjini embu Fanya biashara ya usafirishaji, either ujikite kwenye kusafirisha watu au ufanye kazi ya kusafirisha mizigo kutoka eneo moja kwenda lingine, ni wew tu utakavyo amua na Bado utapiga pesa.

Ukitaka kujua kuwa hili, angalia jinsi watu wanavyo pata shida kwenye swala la usafiri iwe asubuhi, mchana , tena jiona ndio balaaa Zaid, Yani demand ni kubwa mno kuliko supply.. watu wanasumbuka sana kwenye kupata usafiri, hii inaonesha soko limezidiwa na wateja, Good example angalia mwendo Kasi..

So unaweza ukawekeza kwenye kwenye bajaji, boda boda, Kuna hizi Toyo za miguu mitatu, ukiwa nazo hizo utabeba sana mizigo, Yani huwezi kulala njaaa..

Changamoto Huwa hazikosekani, kwahyo hapo ni wewe tu.

Leo naomba niishie hapa, next time nitaeleza strategies nzuri za kupiga pesa kutumia bajaji, boda na toyo.

All In all, sekta Bado Ina gap kubwa sana.
Karibu jijini, inaonekana ndio kwanza umefika
 
Kusema ukweli hizi ndizo tunazosema biashara ya kwenye makaratasi: hapa nitaongea kwa uzoefu baada ya kumaliza chuo nilipata kazi ya mkatana kama miaka mitatu, kisha nikarudi kitaa nilichokifanya ni kupiga driving mwez moja na kupata leseni. Kisha nikanunua bajaji nikaingia road naomba nikwambie haya
Jambo muhimu kabisa ni kwamba ili pesa yako hata ulionunulia boda au bajaji irudi uwe dereva mwenyewe ukiwapa hawa vijana wanaonyoa viduku umelia, maaan kila wakat bosi chombo imeharibika, bosi nmekamatwa na trafik bosi leo hali ni mbaya yaan ukiona tu simu yake ni presha na hili lipo kwa wenye usafiri wte hata mabasi kama kampuni yako ni changa n presha juu ya presha. Sasa kwa uzoefu wangu nilijifunza haya yafuatayo
  1. Ili uweze kufaidika na hii biashara angalau chombo chako kiwe kipya maana yake wew service yako ni kubadili oil na kupiga miguu griss lakini pamoja na hapo kumbuka bajaji mpya ni milioni 8.5 hadi mil 9, sasa hapo waza mpka uje urudishe hizo ml tisa ni lini
  2. Kama una bajaji used au boda used pesa utakuwa unapata saana lakini ukienda kufanya service utaambiwa mara piston za kwenye master zimeisha, mara chain imeisha mara miguu inapata joto ukitoka hapo nusu ya akiba ulioweka imeisha.
  3. Kumbuka kuna changamoto hazikosekani kama sehem ya biashara kuna siku hauna upepo unaweza kulaza 30k tu kuna TRA 100K Kuna latra kuna MATRAFIK kuna kulipia kijiwe. Kumbuka katika pesa unayopata mfano umelaza 80k lazima utoe 20 ya mafuta kwa bajaj mpya
  4. Nimeendesha bajaji dar kiwango cha kulaza faida huwa ni elf hamsini hadi themanini kama kuna mtu anaendesha bodaboda au bajaji analaza laki ake anikosoe na kumbuka bajaj n nyingi kama utitiri na unaondoka kwa foleni kijiweni
  5. Nikaona dar hapalipi nikaenda morogoro bado changamoto ni zile zile na hapo nilikuwa naendesha mwenyewe. Hivyo kila biashara na changamoto yake.
Kwa hapa mkuu ni nidhamu ya pesa ndo changamoto.

Madereva bajaji na boda wengi unakuta kaoa au ana mtoto au watoto baada tu ya kuanza kushika shika pesa.. sasa hii nadhani huwapotezea malengo sana.

Wanakula vizuri sana hawa watu msosi wa buku 3 au 4 mchana sio shida zao.
 
Back
Top Bottom