Chukueni hii; Wekeza katika sekta ya usafirishaji upige pesa

Nakubaliana na wewe kwa 100%
 

Unajua Sana
 
Kwa mchanganuo huu, hii biashara inalipa mnoo. Ishu ni nidhamu ya fedha na saving. Kama unaweza kulaza 30+ kwa siku, hiyo ni biashara nzuri sana mkuu.
 
Umeongea ukweli mtupu makaveli10 mimi mwenyew imewahi nitokea kipind ujana maji ya moto yaan unaingiza laki leo alafu unataka uitumie kwa fujo kwa sababu unajua kesho utaingiza nyingne kumbe mambo huwa yanabadilika.

Vijana tuwe na nidhamu na pesa na tuweke savings za kutosha ili tusije kutia aibu uzeeni!! 😁😁
 
Moro unapaki wapi mzeya nije uniendeshe kwenda dar na bajaj
 
Kwa mchanganuo huu, hii biashara inalipa mnoo. Ishu ni nidhamu ya fedha na saving. Kama unaweza kulaza 30+ kwa siku, hiyo ni biashara nzuri sana mkuu.
Ili usijitese sana kaza buku ten apo umeshatoa matumizi yako ya kila siku
 
Afisa usafirishaji kwenye moja na mbili wanazingua sana.

Hiyo biashara kama hauifanyi wewe binafsi ni pasua kichwa kila siku utabadili maafisa usafirishaji.
 
Afisa usafirishaji kwenye moja na mbili wanazingua sana.

Hiyo biashara kama hauifanyi wewe binafsi ni pasua kichwa kila siku utabadili maafisa usafirishaji.
Hahah ukiifanya mwenyewe itakulipa. Lakini lazima ukaze ,hakuna mambo mepesi
 
Upo vizuri, na watu kama wewe hufanikiwa haraka, kuna watu hawataki kuona unafungua biashara kama yake, atakufanyia figisu, fitina ilimradi tu uharibikiwe, end of the day ukinaike, ndio furaha yake. Watu hawa wapo sana mkuu.
 
Safi sana ukiwa na bajaji 10, miaka 3 unapiga mil 450!
 
Wewe umewekeza kwenye angle ipi katika iyo industry ya usafirishaji? Isije ikawa unatufundisha theory kama motivesheno spikaz
 
Ujana maji ya moto. Kuna pesa za kubet kudadadeki. Unampiga mhindi 500K unasema ngoja niingie ktambaa cheupe hapo unaunganisha bata jmosi na jpl bila kurudi home unaamka j3 asubuhi umebakiwa na 50K
 
Karibu jijini, inaonekana ndio kwanza umefika
 
Kwa hapa mkuu ni nidhamu ya pesa ndo changamoto.

Madereva bajaji na boda wengi unakuta kaoa au ana mtoto au watoto baada tu ya kuanza kushika shika pesa.. sasa hii nadhani huwapotezea malengo sana.

Wanakula vizuri sana hawa watu msosi wa buku 3 au 4 mchana sio shida zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…