Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Ipo hivi sisi binadamu ni roho, siku tulilifamu hili tutakuwa unstoppable kwenye Kila eneo la maisha yetu.
Hawa kina Elon musk, Bill gates na mwenzao wengi walifahamu Siri hii wakatumia Nguvu hiyo kumanipulate Mambo mbalimbali kwenye maisha yao hadi sasa they are unstoppable.